MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Siku Hz hata watu wa dini utasikia DrWasalaam
Madam Speaker ameshauri watu wakasome, wasinunue PhD nitaweka video.
Nchi hii ina vitu ya ajabu sana wanataka kuchezea mpaka taaluma bila haya.
Wakasome, narudia, wakasome
Wale wameenda shule siyo vilaza kama wabungeniSiku Hz hata watu wa dini utasikia Dr
WakasomeSiku Hz hata watu wa dini utasikia Dr
Issue siyo kusaidia kitu chochote, huwezi ukataka status ya kimaisha bila kufuata utaratibu. Ata kupata mke kuna utaratibu wakeKwani hata hizo za kisomo zimesaidia nini nchi hii....
Dunia iliyoendelea haikujengwa na wala haiongozwi na Phds
Speaker mwenyewe ni CHAWA MWANDAMIZI na MNAFIKI.Wasalaam
Madam Speaker ameshauri watu wakasome, wasinunue PhD nitaweka video.
Nchi hii ina vitu ya ajabu sana wanataka kuchezea mpaka taaluma bila haya.
Wakasome, narudia, wakasome
utaratibu ufuatweSpeaker mwenyewe ni CHAWA MNAFIKI.
Anawaponda kina Babu Take, Msukuma huku akimsifia SAMIA, wakati wote ni wale wale tu
Utaratibu huo hapo.utaratibu ufuatwe
Mtu kuwa wa dini haimaanishi kuwa hawezi kuwa na PhD ya darasani. Unamkumbuka yule Padre aliyetununikiwa PhD pale Ardhi University?! Ile ilikuwa PhD ya kukaa darasani! Hata pale UDSM wapo wengi wa aina hiyo!Siku Hz hata watu wa dini utasikia Dr
Hiyo ndiyo Regulations governing the award of postgraduate degrees in the UDSM?Utaratibu huo hapo.
Hata huyo Samia hakufuata utaratibu
Mtu ana degree tatu za theology Call him le_doctor😁Siku Hz hata watu wa dini utasikia Dr
Speaker kama kiongozi wa muhimili wa dola, anayo mamlaka ya kutolea maelezo ugawaji holela wa PhD za mchongo kwakua watu wake wameanza kuzishobokea na kutaka kujipatia umaarufu wa kisiasa bila ya kujali athari kubwa itakayotokana na ujinga huoSpika ana mamlaka gani ya kutotambua hizoDegree au PhD ilihali TCU inazitambua........!
Mengine ni wivu tu usiokuwa na msingi, msukuma kupewa hiyo degree hakumbadilishi akawa msomi kwa lolote Bali ni mtu tu na chuo chake wame appreciate kitu Fulani kutoka kwake na kwa muono wao na si bunge ndo Lina approve......!
Ndo maana Kuna watu Kila siku hawaogezi hata kilo Moja kumbe sababu ni roho mbaya na wivu wa kipumbavu.
I SECOND
Nimependa sana Dr. Tulia (Dr wa kisomo) alivyozungumzia hili bila unafiki.
Itafika wakati tutashindwa kutofautisha yupi ni Dr msomi na Dr aliyenunua utambulisho wa Udaktari kwa pesa.
Hivi kweli Babu Tale anapewa heshima ya Udaktari kwa kitu gani alichofanya? Hiyo taasisi iliyompa kwanza ina watu wenye akili sawasawa?
Huu ni upumbavu,huu ni upimbi, hatuwezi kuwa na taifa la mapimbi kwa kuogopa tukisema wataona tunawaonea wivi wao wamepata udokta bila kiteseka.
Hawa dawa yao ni ndogo tu, ni kutokuwatambua kama madokta, yani kila mahali, iwe bungeni au kwenye hafla yoyote hakuna kumuita Dr fulani, unamuita jina lake Bwana Hamis Shaban Taletale. Maana lengo lao la kununua ni ili waitwe madokta.
Kama unataka kutambulika kama Dokta, ingia darasani piga kitabu, kaa chini andaa andiko na ulitetee ndio ukitoka hapo uone raha kujiita Dokta blah blah.
Kwanza hizo PhD za heshima watu huwa hawajiiti madokta,ni ujinga na ushamba tu.
the short cut is always a wrong cutTaifa la watu wa short cut
Ova