Madam Speaker just killed it. Wakasome, hakuna PhD za kugaiwa kama pipi

Madam Speaker just killed it. Wakasome, hakuna PhD za kugaiwa kama pipi

1. Dr Mwamposa,
2. Dr Harris kapiga,
3. Dr Kimaro,
4. Dr. Taletale,
5. Dr. Msukuma,
6. Dr. Rwakatare (RIP),
7. Dr. Mrema (RIP),
8. Dr. Maganga (RIP),
9.
9. Dr. Abood
10. Dr. Kikwete
11. Dr. Samia
12. Dr. Doto Biteko
13. Dr. Jafo
 
Wasalaam

Madam Speaker ameshauri watu wakasome, wasinunue PhD nitaweka video.

Nchi hii ina vitu ya ajabu sana wanataka kuchezea mpaka taaluma bila haya.

Wakasome, narudia, wakasome
HIi tunaita vita ya wenyewe kwa wenyewe, fita ni fita mraa
 
Kwani hata hizo za kisomo zimesaidia nini nchi hii....

Dunia iliyoendelea haikujengwa na wala haiongozwi na Phds
Hiyo tekno unayotumia katengeneza darasa la ngapi ....BE THE CHANGE U WANT TO SEE
 
Wasalaam

Madam Speaker ameshauri watu wakasome, wasinunue PhD nitaweka video.

Nchi hii ina vitu ya ajabu sana wanataka kuchezea mpaka taaluma bila haya.

Wakasome, narudia, wakasome
I agree,they should go back to school,mwenyewe ilikuwa inaniuma watu type za kina babutale ati nao ni madokta wa PhD,what a kind of s.h.t is this?
 
Speaker mwenyewe ni CHAWA MWANDAMIZI na MNAFIKI.

Anawaponda kina Babu Take, Msukuma huku akimsifia SAMIA, wakati wote ni wale wale tu
Hivi kati ya vyuo vya Tanzania na vya nje vipi ni rahisi kuona kazi zako?
 
Hivi kati ya vyuo vya Tanzania na vya nje vipi ni rahisi kuona kazi zako?
Chuo chochote makini ndani au nje ya nchi kinaweza kuona kazi zako.

Na chuo makini HAKIHONGI AWARDS kwa mtu Kwasababu katoa pesa au Yuko MADARAKANI.

Kinaweza kumzawadia mtu hata Kama ni MKULIMA makini huko NANJILINJI.
 
Speaker mwenyewe ni CHAWA MWANDAMIZI na MNAFIKI.

Anawaponda kina Babu Take, Msukuma huku akimsifia SAMIA, wakati wote ni wale wale tu
SAS ya Samia Ni ya udsm mkuu hzi za kina msukumaa ni za kununua na kudhalilisha elimu huyu mma Samia yey anasahili kwa Kaz zake alizofanya Hadi kufika hapo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom