Madam Speaker just killed it. Wakasome, hakuna PhD za kugaiwa kama pipi

Madam Speaker just killed it. Wakasome, hakuna PhD za kugaiwa kama pipi

inashangaza mtu Kiongozi wa dini Ila haufuati Utaratibu. Hv Harris Kapiga lini kasoma/kupata PhD/Honorary Doctorate?
 
Tale kaingia bungemi juzi leo eti katunukiwa udokta wa heshima jamani kwa lipi! Hii nchi hivi vyuo waache uroho wa pesa.
Hapo ndipo kuna shida, mtu kama Reginald Mengi alikuwa anadeserve kwa mchango wake kwa jamii. Kwa sasa vyuo vimeifanya hiyo honorary Doctorate kuwa kitu very cha kawaida sana.
 
Wasalaam

Madam Speaker ameshauri watu wakasome, wasinunue PhD nitaweka video.

Nchi hii ina vitu ya ajabu sana wanataka kuchezea mpaka taaluma bila haya.

Wakasome, narudia, wakasome
Ila hakuna tofauti kati ya waliosoma e.g. madilu na wasiosoma e.g. msukuma. Kwa hiyo watu waendelee kununua tu hizo PhD za mchongo
 
I agree,they should go back to school,mwenyewe ilikuwa inaniuma watu type za kina babutale ati nao ni madokta wa PhD,what a kind of s.h.t is this?
Mkuu, babu tale na hao wenzake hawana PhD(udaktari wa filosofi), ni madaktari wa heshima tu. Na hautaona sehemu yoyote akatumia hilo neno PhD, na hawaruhusiwi kabisa. Usichanganye hivyo vitu viwili kabisa.
 
Spika ana mamlaka gani ya kutotambua hizoDegree au PhD ilihali TCU inazitambua........!

Mengine ni wivu tu usiokuwa na msingi, msukuma kupewa hiyo degree hakumbadilishi akawa msomi kwa lolote Bali ni mtu tu na chuo chake wame appreciate kitu Fulani kutoka kwake na kwa muono wao na si bunge ndo Lina approve......!

Ndo maana Kuna watu Kila siku hawaogezi hata kilo Moja kumbe sababu ni roho mbaya na wivu wa kipumbavu.
Una uhakika na ukisemacho kuwa TCU inazitambua? Kasome hakuna Degree za dezo
 
Hujui unachoongea boss. Hao wote ni watu maarufu fuatilia wanavyojitambulisha.
Ni makosa kama watatumia neno PhD baada ya majina yao, ila wanaruhusiwa kutumia neno Dr. kabla ya majina yao. Kwa nchi zingine wanatakiwa kuandika neno Dr.hc kuwatofautisha na Daktari wa filosofi (PhD). Ninajua ninachoakiandika mkuu, naomba ninikuu hili neno "Honorary degrees acknowledge individuals for outstanding achievements and contributions to society." Tatizo hapa kwetu anapewa mtu yeyote tu.
 
Mkuu, babu tale na hao wenzake hawana PhD(udaktari wa filosofi), ni madaktari wa heshima tu. Na hautaona sehemu yoyote akatumia hilo neno PhD, na hawaruhusiwi kabisa. Usichanganye hivyo vitu viwili kabisa.
Ungepita tu ingekufichia upumbavu wako. Ukiondoa dakitari wa bonadamu na mifugo, ili uitwe dakitari lazima uwe na PhD. Kuna PhD ya kusomea na PhD ya heshima na wenye nazo wanaruhusiwa kutumia neno Dr. Kama kishangilio na PhD kama sifa.
 
Hawaruhusiwi kutumia neno PhD baada ya majina yao, na hili hata TCU walihalitolea ufafanuzi, waweza kuwa mpumbavu wa first order. Wanachoruhusiwa ni kutumia neno Dr. kabla ya majina yao, kwenye nyaraka zozotewatakazotumia.
 
Sasa kwanini Mama Samia Anajiita Dr hii Haifa hapo udsm wanagawa PhD za mchongo
 
Ni makosa kama watatumia neno PhD baada ya majina yao, ila wanaruhusiwa kutumia neno Dr. kabla ya majina yao. Kwa nchi zingine wanatakiwa kuandika neno Dr.hc kuwatofautisha na Daktari wa filosofi (PhD). Ninajua ninachoakiandika mkuu, naomba ninikuu hili neno "Honorary degrees acknowledge individuals for outstanding achievements and contributions to society." Tatizo hapa kwetu anapewa mtu yeyote tu.
Hakika
 
Back
Top Bottom