Madam Speaker just killed it. Wakasome, hakuna PhD za kugaiwa kama pipi

Madam Speaker just killed it. Wakasome, hakuna PhD za kugaiwa kama pipi

SAS ya Samia Ni ya udsm mkuu hzi za kina msukumaa ni za kununua na kudhalilisha elimu huyu mma Samia yey anasahili kwa Kaz zake alizofanya Hadi kufika hapo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hata UDSM wanahonga PhD.

Ndio maana wanazitoa kwa mtu anayeweza kuwapa chochote.

Ukitaka kujua hili, kuwekwe utaratibu PhD zisitolewekwa kwa mtu aliye Madarakani
 
Spika ana mamlaka gani ya kutotambua hizoDegree au PhD ilihali TCU inazitambua........!

Mengine ni wivu tu usiokuwa na msingi, msukuma kupewa hiyo degree hakumbadilishi akawa msomi kwa lolote Bali ni mtu tu na chuo chake wame appreciate kitu Fulani kutoka kwake na kwa muono wao na si bunge ndo Lina approve......!

Ndo maana Kuna watu Kila siku hawaogezi hata kilo Moja kumbe sababu ni roho mbaya na wivu wa kipumbavu.
ungekuwa umefuatilia vizuri spika alichokisema usingeandika haya.Hata waziri wa elimu amesema hata TCU haiwezi kufuatilia uhalali wa degree hizo bila kuwa na matakwa ya kufanya hivyo..Ndio spika akapendekeza kuwa lazima sasa kuwe na utaratibu wa kufuatilia.
 
Swadakta, watu wengi wanarukia gari kwa mbele, hawajui hoja ni nini. Whether or not hao wasomi wenye PhD za halali hawana mchango wowote kwa taifa, haiwapi uhalali vilaza kutafuta PhD za mchongo.
 
1. Dr Mwamposa,
2. Dr Harris kapiga,
3. Dr Kimaro,
4. Dr. Taletale,
5. Dr. Msukuma,
6. Dr. Rwakatare (RIP),
7. Dr. Mrema (RIP),
8. Dr. Maganga (RIP),
9.
Which Doctor? Witch Doctor?
 
Ndicho alichotumwa Bungeni ?

Anaacha kusimamia Serikali inafanya yake anaanza kusimamia Phd Fake za wenzake; Hayo akafanye nje ya Bunge humo ndani atumie muda wa kuisimamia Serikali; Hovyo kabisa
 
1. Dr Mwamposa,
2. Dr Harris kapiga,
3. Dr Kimaro,
4. Dr. Taletale,
5. Dr. Msukuma,
6. Dr. Rwakatare (RIP),
7. Dr. Mrema (RIP),
8. Dr. Maganga (RIP),
9.
Hao wote uliowataja ni madaktari wa heshima na sio madkatri wa filisofi (PhD). Na hawaruhusiwi kurumia neno PhD kwenye document zao zozote. So, hamna cha ajabu hapo, na spika wala hakumaanisha hicho
 
Spika ana mamlaka gani ya kutotambua hizoDegree au PhD ilihali TCU inazitambua........!

Mengine ni wivu tu usiokuwa na msingi, msukuma kupewa hiyo degree hakumbadilishi akawa msomi kwa lolote Bali ni mtu tu na chuo chake wame appreciate kitu Fulani kutoka kwake na kwa muono wao na si bunge ndo Lina approve......!

Ndo maana Kuna watu Kila siku hawaogezi hata kilo Moja kumbe sababu ni roho mbaya na wivu wa kipumbavu.
Msukuma hana PhD, labda ni udaktari wa heshima tu
 
Hao wote uliowataja ni madaktari wa heshima na sio madkatri wa filisofi (PhD). Na hawaruhusiwi kurumia neno PhD kwenye document zao zozote. So, hamna cha ajabu hapo, na spika wala hakumaanisha hicho
Hujui unachoongea boss. Hao wote ni watu maarufu fuatilia wanavyojitambulisha.
 
Back
Top Bottom