9. Dr. Abood1. Dr Mwamposa,
2. Dr Harris kapiga,
3. Dr Kimaro,
4. Dr. Taletale,
5. Dr. Msukuma,
6. Dr. Rwakatare (RIP),
7. Dr. Mrema (RIP),
8. Dr. Maganga (RIP),
9.
14. Dr Ngongo9. Dr. Abood
10. Dr. Kikwete
11. Dr. Samia
12. Dr. Doto Biteko
13. Dr. Jafo
Dr. Kinyungu nayo itapendeza😅😅14. Dr Ngongo
Tanzania, UDSM included.Hiyo ndiyo Regulations governing the award of postgraduate degrees in the UDSM?
Wewe ndo hujui , wale PhD holderSiku Hz hata watu wa dini utasikia Dr
HIi tunaita vita ya wenyewe kwa wenyewe, fita ni fita mraaWasalaam
Madam Speaker ameshauri watu wakasome, wasinunue PhD nitaweka video.
Nchi hii ina vitu ya ajabu sana wanataka kuchezea mpaka taaluma bila haya.
Wakasome, narudia, wakasome
Hiyo tekno unayotumia katengeneza darasa la ngapi ....BE THE CHANGE U WANT TO SEEKwani hata hizo za kisomo zimesaidia nini nchi hii....
Dunia iliyoendelea haikujengwa na wala haiongozwi na Phds
Tangu zamani, wao husoma kwenye vyuo rasmi pamoja na kusomea dini na ndiyo sababu huweza kuteuliwa kwenye nyazifa za serikali.Siku Hz hata watu wa dini utasikia Dr
I agree,they should go back to school,mwenyewe ilikuwa inaniuma watu type za kina babutale ati nao ni madokta wa PhD,what a kind of s.h.t is this?Wasalaam
Madam Speaker ameshauri watu wakasome, wasinunue PhD nitaweka video.
Nchi hii ina vitu ya ajabu sana wanataka kuchezea mpaka taaluma bila haya.
Wakasome, narudia, wakasome
IT IS DEEP SHITI agree,they should go back to school,mwenyewe ilikuwa inaniuma watu type za kina babutale ati nao ni madokta wa PhD,what a kind of s.h.t is this?
Hivi kati ya vyuo vya Tanzania na vya nje vipi ni rahisi kuona kazi zako?Speaker mwenyewe ni CHAWA MWANDAMIZI na MNAFIKI.
Anawaponda kina Babu Take, Msukuma huku akimsifia SAMIA, wakati wote ni wale wale tu
Jafo na Dotto walizipata kimagumashi sana pale UDOM9. Dr. Abood
10. Dr. Kikwete
11. Dr. Samia
12. Dr. Doto Biteko
13. Dr. Jafo
Unawashwa wewe... naweza wanunua wewe na mama yako mkaish kwangu your life time.Hiyo tekno unayotumia katengeneza darasa la ngapi ....BE THE CHANGE U WANT TO SEE
Mkp nimrsikia Dr alihad Musa salum na mufti mkuu ndugu Dr zuberiSiku Hz hata watu wa dini utasikia Dr
Chuo chochote makini ndani au nje ya nchi kinaweza kuona kazi zako.Hivi kati ya vyuo vya Tanzania na vya nje vipi ni rahisi kuona kazi zako?
SAS ya Samia Ni ya udsm mkuu hzi za kina msukumaa ni za kununua na kudhalilisha elimu huyu mma Samia yey anasahili kwa Kaz zake alizofanya Hadi kufika hapoSpeaker mwenyewe ni CHAWA MWANDAMIZI na MNAFIKI.
Anawaponda kina Babu Take, Msukuma huku akimsifia SAMIA, wakati wote ni wale wale tu
Naona umeamua kumtolea UVIVU lkn sawa tu han tofauti Sana Wala hawajahi kuwa mbali Sana Tena mzukuma Kam mzidi maliDr Tulia acha wivu ,Hamisi Taletale na Joseph Msukuma ni Ma Dr Phd kama wewe tu.