Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

duh...mkuu mafanikio ya huyo dada ni kuuza mbunye au?

Manake anamake headline kwa kugawa uloda kwa vijana na wanaume wa rika na ghiliba mbalimbali

Pia ni maarufu katika suala la utoaji wa mimba ambalo yeye mwenyewe yuko Proud nalo

Mkuu kuwa na makhaba ambao ni wakuu wa mashirika ya Umma na wanasiasa wakubwa hakumfanyi bosi wako pia kutokuwa kahba......
 
Mkuu vipi uko sawa sawa au ushavurugwa huko...........?
 
Una nyege ya kizee au unatumia sarcasm kumchafua Wema? Yaani unataka kuniambia kwa akili yako kweli Wema anafaa kuwa mke wa mtu, kwa vigezi vipi anavyokidhi yeye? Wacha kutuchefua hapa sie wanaume wastaarabu.
 
Aisee ningekuwa mwanaume ningemweka ndani huyu bibie. Anafaa kuwa mke ndio, tena mwema, fighter na anayejua kucheza na akili za watu...
Mengine ni maneno ya magazeti ambayo hata kama yangekuandama wewe ungeonekana kituko.
 
Mnaomba msamaha mmefanyaje kwani? Mi nitoeni kwenye list ya watanzania waombao msamaha huo. Nilisahau Kumbe maddame ni Role model wa" boys" na " girls" . Am too old for this.
 
Hakuna mahali nilikotaja ukahaba mimi, kwa kuwa najua ni brand tu hiyo... Watu tushazushiwa mengi mitaana hadi level za familia. Kama una la kupinga pinga hoja za post ya kwanza; mfano niambie kuwa Wema hajawahi kushinda Taji la Miss Tanzania, hamiliki moja ya kampuni chache za filamu na management ya wasanii, hana line yake ya lip stick,...
Mengine ni chuki tu! Umalaya hadi wazazi wenu wamefanya...
 
Mnaomba msamaha mmefanyaje kwani? Mi nitoeni kwenye list ya watanzania waombao msamaha huo. Nilisahau Kumbe maddame ni Role model wa" boys" na " girls" . Am too old for this.
Madame ni Mtanzania, so do hao boys and girlz ambao ndo watatuhudumia tukishazeeka...
Hujafa hujaumbika, acha kudharau watoto wa watu!
 
Waambie wachina waliompachika yale makalio yake bila kutumia vipimo ndio wamuombe msamaha. Watanzania hawahusiki kwenye uharibifu ule.
 
dah..haya mzee endelea kukazana kusifia kubwa la makahaba
 
Aisee ningekuwa mwanaume ningemweka ndani huyu bibie. Anafaa kuwa mke ndio, tena mwema, fighter na anayejua kucheza na akili za watu...
Mengine ni maneno ya magazeti ambayo hata kama yangekuandama wewe ungeonekana kituko.

Kumbe hata Domo ni mwandishi wa habari anaposema Wema si mtafutaji na hajishughulishi na lolote kazi scandals na kupiga domo?
 
Salamu Wema Sepetu Mtakatifu mama Ubaya.
Umejaa Neema
Ubaya yu nawe
Umebarikiwa kuliko wauza sura wote
Na hakuna uzao wa tumbo lako, jinsi ulivyobarikiwa
Utuombee sisi wasaga lami
Sasa na saa ya kulosti kwetu
Mia
Mweeh! hii kali sasa
 
hahahahaaaa,duuuh...nimecheka sana hasa hapo mwisho ulipomalizia iyo sala!
mia=amen?we kweli kiranga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…