Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,227
Kwa mujibu wako. Mimi nawajua viongozi wa makahaba ambao ni wakuu wa mashirika ya Umma na wanasiasa wakubwa, bila kusahau mashoga. Madam Wema Sepetu ni mwanamke jasiri, malkia wa nguvu... Kila sekta ana mafanikio, hadi siasa ambayo amethubutu kugombea Ubunge wakati akina nyie mkibwabwaja majukwaani nyuma ya keyboard.
duh...mkuu mafanikio ya huyo dada ni kuuza mbunye au?
Manake anamake headline kwa kugawa uloda kwa vijana na wanaume wa rika na ghiliba mbalimbali
Pia ni maarufu katika suala la utoaji wa mimba ambalo yeye mwenyewe yuko Proud nalo
Mkuu kuwa na makhaba ambao ni wakuu wa mashirika ya Umma na wanasiasa wakubwa hakumfanyi bosi wako pia kutokuwa kahba......