Madame B ana mpenzi huku? nifahamisheni plz!

Madame B ana mpenzi huku? nifahamisheni plz!

THECHANCE

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
301
Reaction score
121
Wadau wa huku CC salaam!

nauliza kama Madame B ana mpenzi wake humu maana nimezimika nipo hoi, kula sili, kulala silali namuota yeye tu, kila nikinywa maji namuona kwenye glasi, nikitembea namwona yeye tu! plz nijulisheni!

Samahanini km ana mume/ mpenzi / wapenzi msinishambulie maana nimeuliza! ila kama anae i wish ........... malizia mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:
ni hiko kipenguin unachokiona kwenye glass au?

Au nini?
Hapana yeye hana mpenzi ila anasaccoss humu ndani na kwa taarifa nilizopewa saccoss imekuwa sasa hivi ni bank
Arushaone na Filipo kijana anataka ajiunge na bank ya baba
 
Last edited by a moderator:
Dogo usiwe na wasiwasi yule hanaga MPENZI, mapenzi sio fani yake na hana mpango wa kupenda ila ana waume 8, we nenda na "benki statementi" na password ya ATM yako utakuwa umemaliza kazi...
 
Last edited by a moderator:
naoana hii itakuwa thread yako ya mwisho.
 
Back
Top Bottom