Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
duuuu ana saccos? sasa hapo balaa tena!
mamaaaaa nimebugi nn kuuliza, ila nimeuliza tu jamani, sijaparamia, plz niachieni meno na kucha zangu!
heeee mbona wanichanganyeni tena wanaCC? mara kucxha, meno, bikira, yeuwiiiiiii!
naomba msamaha mapemaaaaaaaa, nakiri nimekosea kumbe huyu ni untouchable eehh!
yeuwiiiiiiiiiii . . . . . . . . . !!!!! kucha, meno du itakuaje jamani! plz njoo huku Madame B niombee msamaha mbona umejificha sasa, wananishambulia huku!
THECHANCE wala usiogope, niamini mimi tu! Madame B hajui mwanaume yukoje kwanza hata sufuria bado hajavunja japokuwa ana miaka 35, hao wote wanaokutisha walimtaka Madame B akawakataa ndio maana wanakuonea wivu mwaya, we nenda direct kamtongoze uone yaani utafurahi mwenyewe nakuapia vilee!!!!!!!!
Last edited by a moderator: