Madame B ana mpenzi huku? nifahamisheni plz!

Madame B ana mpenzi huku? nifahamisheni plz!

Last edited by a moderator:
Bishanga Nimeenda kwa mtaalamu. Hujuma zote ninzofanyiwa nimezijua.

Subirini matokeo"!

na mm nielekeze kwa huyo mtaalam nipate mbinu za kuwakabili akina usalama wa Madame B plz nisaidie kabla hawanidhuru!
 
Last edited by a moderator:
Umekuja mrembo
daaah, afadhali kuna watu wanajidai sana humu
utasaidia kuwapunguza makali.

ndio nashakuja injini ya jiji
mtambo wa gesi,kina nani hao
wanaleta ngebe niwapunguze makali aaaalaaaa!!
 
Utaona mwenyewe akikupa nafasi...

Copy: Madame B nipe nafasi ila nihakikishie usalama kwanza, nasikia ni kama saccos hv! wengine wanausalama wengine sijui nani ili mradi ni watu wa sharishari hv!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom