​hebu nipokee wewe acha ubinafsi khaaaa!!Hakuna mgeni hapo Mamndenyi, umesahau mimi nipo kwenye kamati ya kupokea wageni? Huyu mwenyeji sana tu.....
Nilitaka hivyo hivyo ili ukamalizie kulima
kuna mashamba mengine yamekosa walimaji
si unajua mambo ya kule kwetu kwa mtoto wa mkulima.
Dogo unatafuta kung'olewa jino au kuvunjwa ugoko? kuna mjeda humu ndani ngoja akusikie,mim simo!
Naunga mkono hoja kweli Madame B ni bikira
tena ana aibu nasikia ukitaka kumtongo za anakula vijiti na kumumunya vidole
kama mke mwema umepata
karibu sana dismynder1, midume ya humu ikikuzingua we njoo kwangu tu. Najua kulea, ushahidi muulize Mamndenyi.​hebu nipokee wewe acha ubinafsi khaaaa!!
Kumbe ndio maana....!Nilitaka hivyo hivyo ili ukamalizie kulima
kuna mashamba mengine yamekosa walimaji
si unajua mambo ya kule kwetu kwa mtoto wa mkulima.
Hana ubikra wowote......alishavunjwa zamani sana.
karibu sana dismynder1, midume ya humu ikikuzingua we njoo kwangu tu. Najua kulea, ushahidi muulize Mamndenyi.
​thubutu yenu mumkague mwenyeji aaalaaaah!!Babu Asprin ndio mkaguzi mkuu, ila akichokaga huwa anatuachia wajukuu tufanye ukaguzi. Pita huku tafadhali nikukague.
pacha umenionea wapi Ruttashobolwa na umsalimie Arushaone!!
eeeehhh wanitia moyo weye, wanataka kweli nife lady daktari? au unataka cadava!