Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Mzee-kijana Mtambuzi we acha tu.
Hawa waume zangu nuksi kweli............wananipenda wanione tu ninavyowawapeti peti jukwaani, lakini kunilipia pesa hawataki.
Sasa nitafanya mpango wakuwaacha wote, mmoja baada ya mwingine.
kwani sh ngapi wife..
jambo dogo hilo nitakulipia wewe na pia tafuta msshoga zako watatu niwape ofa hiyo na wao.
Last edited by a moderator: