Madame B, mbona husomeki...?

Madame B, mbona husomeki...?

Jamani Mtambuzi hujui pale LTHP nani anapadhili? Ule nao ni mchango japo indirect to jf!

Afu mwambie Roooziiiii aangalie pale chini kuna mtu kadondosha hela!
 
Last edited by a moderator:
haaaa unamaanisha maligendi wameingia mitini?

Hommie, mambo!
Maligendi wawe na ka shaba walau! Mie account yangu ilibadilishwa status, manake ilikufa kisha nkaifufua last year!

Hivi sai ngapi saivi?
 
Thubutuuuuuuuuuuuuu........ile Elfu thelathini aliiona akaiokota.
Chezea walenga shabaha wewe Paloma!!!!!!

Jamani Mtambuzi hujui pale LTHP nani anapadhili? Ule nao ni mchango japo indirect to jf!
Afu mwambie Roooziiiii aangalie pale chini kuna mtu kadondosha hela!
 
Simu yangu nimekupa nimebaki na line, kila kitu nmekupa nikupate kilaini, wewe dada mbona husomeki?! By joti. Mi nlivyo ona title nikajua unazungumzia huo wimbo hapo juu kumbe sio!. dah!. mia
 
Back
Top Bottom