General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
- Thread starter
-
- #101
Mkuu,Mangi unatuangusha wale tuliofikiria umepunguza bata ukiwa unajipanga na kujinoa kwa ajili ya kurekebisha makossa ya awali.
Siku moja jiandae,,, mimi bata langu ni 'king size'[emoji23][emoji4][emoji4][emoji4] labda ukutane na strangers..na strangers mie naweza kuwajua..unaona unakunywa na mtu anakuwa anakulazimisha unywe anakumiminia tu mabia au akuambie uonje yake huyo kuwa naye makini...mie nimewah kiukwel kunywa na mshikaj fulan hakua na wenge wala nn.. aliniuliza tu unatumia jinywaj gan nikamtaji..kaja navyo kama vyoote tukasafiri umbali mrefu tunajinywea tu[emoji23][emoji23][emoji23]..ah maisha yenyew robo haya..huwa nataman nipate marafik wa hvyo... mnajirusha kila mtu anarud kwake...sio nakunywa mara umenigusa kiuno ova mpenzio[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]!hapo naishia 3 tu
Hivi beer zikijaa mezani si mood inakata?Hahahha
Kuna wale bia zikikolea, wanasimamisha dushe.
Afu kuna wale anakuuliza unakunywa nini ukishamtajia anaenda kaunta na kurudi na bia zote zimefunguliwa.
Kuna siku niligoma kunywa bia.
Kaja na bia 4 zote kafungua.
Nikasema 2 wewe 2 mimi...akakataa.
Nikasema sinywi....waweza jikuta unaamkia mtaroni.
Afu mtu simjui.
Kama kawaisa mkuuHua Siachii FURSA ipotee hivihivi
Pole kwa kuyamissπππ mm hapana...hyo sitak..kushikana shikana kwingi ...dah jaman nayamish hayo maishaπ
Hahahaaaaππππππππππ
Kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikutegemea maelezo haya....acha nilale, usiku mwemaKabisa.
Raha ya bia uwe nazo 2 mezani.....ikiisha unainuka unatingisha mwili kwenda kaunta huku nyuma wanabaki na viulizo...hahahaahah
Sema lolote mdogo wangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikutegemea maelezo haya....acha nilale, usiku mwema
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mdogo wangu
Huku
Kabisa.
Raha ya bia uwe nazo 2 mezani.....ikiisha unainuka unatingisha mwili kwenda kaunta huku nyuma wanabaki na viulizo...hahahaahah
Pole kwa kuyamiss
Nami pia niliwahi kuyamiss hapo nyuma.
Baada ya kutoka kifungoni nikayaishi.
its okey boss mtoto...!
Mkuu,
Hii ilikuwa ndani ya bajeti,
Huwa natenga kiasi kila mwezi kwq ajili ya likizo. Na Hii ilikuwa likizo yangu...
Kwahiyo sijatumia nje ya bajeti, likizo imeisha na chenchi imebaki.
Siwezi kukuangusha mkuu,
Mwaka huu nakuhaidi makubwaa....
Heri ya Mwaka mpya!
Sent using Jamii Forums mobile app