Madame B, Nimeingia dodoma, Njoo Malaika Lounge Ukutane na Mangi

Madame B, Nimeingia dodoma, Njoo Malaika Lounge Ukutane na Mangi

Mangi unatuangusha wale tuliofikiria umepunguza bata ukiwa unajipanga na kujinoa kwa ajili ya kurekebisha makossa ya awali.
Mkuu,
Hii ilikuwa ndani ya bajeti,
Huwa natenga kiasi kila mwezi kwq ajili ya likizo. Na Hii ilikuwa likizo yangu...

Kwahiyo sijatumia nje ya bajeti, likizo imeisha na chenchi imebaki.

Siwezi kukuangusha mkuu,
Mwaka huu nakuhaidi makubwaa....

Heri ya Mwaka mpya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji4][emoji4][emoji4] labda ukutane na strangers..na strangers mie naweza kuwajua..unaona unakunywa na mtu anakuwa anakulazimisha unywe anakumiminia tu mabia au akuambie uonje yake huyo kuwa naye makini...mie nimewah kiukwel kunywa na mshikaj fulan hakua na wenge wala nn.. aliniuliza tu unatumia jinywaj gan nikamtaji..kaja navyo kama vyoote tukasafiri umbali mrefu tunajinywea tu[emoji23][emoji23][emoji23]..ah maisha yenyew robo haya..huwa nataman nipate marafik wa hvyo... mnajirusha kila mtu anarud kwake...sio nakunywa mara umenigusa kiuno ova mpenzio[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]!hapo naishia 3 tu
Siku moja jiandae,,, mimi bata langu ni 'king size'[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahha
Kuna wale bia zikikolea, wanasimamisha dushe.
Afu kuna wale anakuuliza unakunywa nini ukishamtajia anaenda kaunta na kurudi na bia zote zimefunguliwa.
Kuna siku niligoma kunywa bia.
Kaja na bia 4 zote kafungua.
Nikasema 2 wewe 2 mimi...akakataa.
Nikasema sinywi....waweza jikuta unaamkia mtaroni.
Afu mtu simjui.
Hivi beer zikijaa mezani si mood inakata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,
Hii ilikuwa ndani ya bajeti,
Huwa natenga kiasi kila mwezi kwq ajili ya likizo. Na Hii ilikuwa likizo yangu...

Kwahiyo sijatumia nje ya bajeti, likizo imeisha na chenchi imebaki.

Siwezi kukuangusha mkuu,
Mwaka huu nakuhaidi makubwaa....

Heri ya Mwaka mpya!

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahsante Chief, nimefarijika kusikia unataja kitu bajeti. Ufanikiwe katika mipango yako MKUU.
Uwe na mwaka wenye mafanikio na baraka zote kaka.
 
Back
Top Bottom