Walienda kwa mgongo wa WCB kama kampuni.Wanaotoa visa ni Wamarekani sio Diamond, ukiwa na visa hamna wa kukuzuia kwani wenye nchi yao wamekuruhusu.
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Umbea tu
Hata kama ni kweli. Wasiache kumshukuru MondUstaa mzigo...
Tutakuandika tuu hata kama umbea...
Hivi Zanzibar revolution ilikuwa inahusu nini?Mradi kisharipoti awaache wajitafutie maisha kivyao. Asifatilie habari zao.
Ilihusu watoto kutahiriwa kienyeji.Hivi Zanzibar revolution ilikuwa inahusu nini?
Huyo jamaa kwenye picha anafanana na picha za miaka iliyopita za nguli wa hip hop wa huko Marekani, LL Cool J.Madansa 3 wa Diamond Platnumz (Hbaajuni, Emma Platnumz na Rama Tosser) wamezamia Marekani kinyemela kwa kutumia Visa za WCB.
Inasemekana mara ya mwisho Diamond Platnumz alivyoenda Marekani aliwakatia Visa za mwaka mmoja mmoja, walivyomaliza kazi na kurudi bongo wakakata ticket za kurudi Marekani kimyakimya.
Diamond Platnumz alienda ubalozi wa Marekani ili kushtaki vijana wawe deported, lakini vijana nao wakajitetea kuwa walikuwa wanafanyishwa shughuli haramu za upunda, na kwa kusema hivyo wanaogopa kurudi bongo kuhofia usalama wao.
View attachment 2813100
Bibi leo umeandika point.Mradi kisharipoti awaache wajitafutie maisha kivyao. Asifatilie habari zao.
Aisee yaani hao marinda yatakoma. Watafanya kazi gani? Yaani kama walikuwa na uwezo wa kujikatia ticket kwa hela ya Diamond maana yake wanakipato kizuri kuzidi wamarekani wengi.Madansa 3 wa Diamond Platnumz (Hbaajuni, Emma Platnumz na Rama Tosser) wamezamia Marekani kinyemela kwa kutumia Visa za WCB.
Inasemekana mara ya mwisho Diamond Platnumz alivyoenda Marekani aliwakatia Visa za mwaka mmoja mmoja, walivyomaliza kazi na kurudi bongo wakakata ticket za kurudi Marekani kimyakimya.
Diamond Platnumz alienda ubalozi wa Marekani ili kushtaki vijana wawe deported, lakini vijana nao wakajitetea kuwa walikuwa wanafanyishwa shughuli haramu za upunda, na kwa kusema hivyo wanaogopa kurudi bongo kuhofia usalama wao.
View attachment 2813100
Kwanini unapenda kufikiria vitu vya hovyo? Unajuaje kama waliuza vitu vyao wapate nauli? Mimi ninawapongeza vijana kwa kujilipua. Na ninawaombea mafanikioAisee yaani hao marinda yatakoma. Watafanya kazi gani? Yaani kama walikuwa na uwezo wa kujikatia ticket kwa hela ya Diamond maana yake wanakipato kizuri kuzidi wamarekani wengi.