Madansa 3 wa Diamond Platnumz wazamia Marekani kwa Visa za WCB

Madansa 3 wa Diamond Platnumz wazamia Marekani kwa Visa za WCB

Kumbe watu wa kwny Apu ya dada Wa Taifa mnapata udaku mwingi sana...angekua hapost watu kugeuzwa ningejiunga nipate exclusive...ila hayo ya kuchafua hali ya hewa ya sodoma yananikwaza sipendi kuangalia...
 
Kwanini unapenda kufikiria vitu vya hovyo? Unajuaje kama waliuza vitu vyao wapate nauli? Mimi ninawapongeza vijana kwa kujilipua. Na ninawaombea mafanikio
Ujinga kabisa, nyie ndiyo watanzania mnaletea taifa hasara. Hakupaswa kazaliwa kabisa. Unampongeza mtunkwenda kufumuliwa marinda! Una akilo kweli. Watafanya kazi gani huko???
 
Wewe una uhakika gani anaenda kufumuliwa marinda? Au kwasababu wewe unafumuliwa ndo unadhani kila mtu anafumuliwa?
Marinda lazima yawahusu, unaenda nchi za watu kazi yako kutunisha misuli huna hata elimu wala lugha yao huijui, lazima uishi kwa hisani ya rindaz
 
Aisee yaani hao marinda yatakoma. Watafanya kazi gani? Yaani kama walikuwa na uwezo wa kujikatia ticket kwa hela ya Diamond maana yake wanakipato kizuri kuzidi wamarekani wengi.

watafanya kazi zile za undertable na zinalipa tuu vziuri, pia wakisha kaa kwa muda wanaweza fanya mchakato wa kupata uraiya kupitia zile prosess kama za kuoa au anaweza zaa na mtanzania dem amabaye keshapata grcard huko maisha yakaendelea vizuri. Inshot wanejiongeza vzuri.
 
Madansa 3 wa Diamond Platnumz (Hbaajuni, Emma Platnumz na Rama Tosser) wamezamia Marekani kinyemela kwa kutumia Visa za WCB.

Inasemekana mara ya mwisho Diamond Platnumz alivyoenda Marekani aliwakatia Visa za mwaka mmoja mmoja, walivyomaliza kazi na kurudi bongo wakakata ticket za kurudi Marekani kimyakimya.

Diamond Platnumz alienda ubalozi wa Marekani ili kushtaki vijana wawe deported, lakini vijana nao wakajitetea kuwa walikuwa wanafanyishwa shughuli haramu za upunda, na kwa kusema hivyo wanaogopa kurudi bongo kuhofia usalama wao.

View attachment 2813100
Hizo ni story ingekua kweli domo angekamatwa chap
 
watafanya kazi zile za undertable na zinalipa tuu vziuri, pia wakisha kaa kwa muda wanaweza fanya mchakato wa kupata uraiya kupitia zile prosess kama za kuoa au anaweza zaa na mtanzania dem amabaye keshapata grcard huko maisha yakaendelea vizuri. Inshot wanejiongeza vzuri.
Usiwadanganye hao lazima marinda yafumuliwe
 
Safi vijana kwa kujibakiza kwenye nchi ya milk and honey..

Utarudije Bongo kwenye laana?

Watu wanaruka ukuta Mexico border kuingia tu USA, halafu itokee upenyo wa umefika Marekani halafu urudi?

Vijana wamejilipua....
 
Back
Top Bottom