Madansa 3 wa Diamond Platnumz wazamia Marekani kwa Visa za WCB

Madansa 3 wa Diamond Platnumz wazamia Marekani kwa Visa za WCB

Walienda kwa mgongo wa WCB kama kampuni.

WCB ni kama wadhamini wao...

Ukimdhamini mtu Visa kisha akazamia ni wajibu wako kuripoti, pia itaathiri kuwaombea wengine visa next time..
Mbona umesema walienda wakarudi
 
Watu wamekazana kufumuliwa hao sio madansa wakwanza kwenda nje,,sasa hiv mziki wetu umekua watu wanaeza kwenda kufundisha Kucheza au kupost video zao YouTube wakapiga hela maisha yakaenda pia
Wakipost tu YouTube, wanalipwa pesa ya kuweza kukimu maisha Yao?
 
Ulaya including marekani ukiwa huna kazi unakuwa omba omba, sehemu pekee ambayo unaweza onewa huruma ni kuwa shoga, yaani watakuwa wanaenda club za mashoga huko ndiyo marinda yanahusika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom