Madansa 3 wa Diamond Platnumz wazamia Marekani kwa Visa za WCB

Madansa 3 wa Diamond Platnumz wazamia Marekani kwa Visa za WCB

Imenikumbusha kundi cha kwaya kanisani kwetu waliondoka 40 na mizigo yao ya vitu vya asili walirudi watu 18 tu tena wazee na wamama wenye watoto vijana wote walipotea hata hayo mashindano yaliyowapeleka hawakufanya
 
Baada kurudi Tanzania wakakata ticket na kurudi kimya kimya, sio Marekani ninayoijua, labda uwe na multiple entry ambayo Diamond hakuwa na sababu ya kuikata, ongea mengine.
Visa ya Marekani ni multiple entry, kama ni ya mwaka mmoja unaweza kwenda n kurudi multiple times bila shida yoyote kabla hip mwaka haujaisha.
 
Q Boy Msafi alijaribu kufanya hivi lakini WCB wakafanikiwa kumrejesha nchini, kisha wakamtimua moja kwa moja.

Hawa nao watafuatia bila shaka. Muda ni mwalimu mzuri sana. Utaongea bila shaka.

Ova
WCB hawashindwi, watawafanyia mbaya hao madansa.
 
Imenikumbusha kundi cha kwaya kanisani kwetu waliondoka 40 na mizigo yao ya vitu vya asili walirudi watu 18 tu tena wazee na wamama wenye watoto vijana wote walipotea hata hayo mashindano yaliyowapeleka hawakufanya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahahahah
 
Watu wamekazana kufumuliwa hao sio madansa wakwanza kwenda nje,,sasa hiv mziki wetu umekua watu wanaeza kwenda kufundisha Kucheza au kupost video zao YouTube wakapiga hela maisha yakaenda pia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Enzi zetu wenyewe zile trips za uscout nje...mambo ya summer cMp nk
Watu wengi walikuwa wanaingia mitini huko
Ila ukiangalia kwa undani basi hawa wcb wamewafanyia usmart maana wengine mkisafiri document zenu zote wanazishikilia uongozi wenu wa safari

Ova
 
Madansa 3 wa Diamond Platnumz (Hbaajuni, Emma Platnumz na Rama Tosser) wamezamia Marekani kinyemela kwa kutumia Visa za WCB.

Inasemekana mara ya mwisho Diamond Platnumz alivyoenda Marekani aliwakatia Visa za mwaka mmoja mmoja, walivyomaliza kazi na kurudi bongo wakakata ticket za kurudi Marekani kimyakimya.

Diamond Platnumz alienda ubalozi wa Marekani ili kushtaki vijana wawe deported, lakini vijana nao wakajitetea kuwa walikuwa wanafanyishwa shughuli haramu za upunda, na kwa kusema hivyo wanaogopa kurudi bongo kuhofia usalama wao.

View attachment 2813100
Kwahiyo hiyo Ford Mustang anamiliki au kaikuta tu imepark nje ya apartment complex kaamua kupiga picha ya kuibia? Atarudishwa tu Bongo muda si mrefu
 
Enzi zetu wenyewe zile trips za uscout nje...mambo ya summer cMp nk
Watu wengi walikuwa wanaingia mitini huko
Ila ukiangalia kwa undani basi hawa wcb wamewafanyia usmart maana wengine mkisafiri document zenu zote wanazishikilia uongozi wenu wa safari

Ova
Watakaa kihalali hadi visa ya mwaka mmoja i expire mkuu. Baada ya hapo ni suala la muda tu lazima warudishwe.
 
Back
Top Bottom