Madansa 3 wa Diamond Platnumz wazamia Marekani kwa Visa za WCB

Madansa 3 wa Diamond Platnumz wazamia Marekani kwa Visa za WCB

Hahaah huna social security number hahah utakuwa unapiga under the table hadi lini?

Uugue ndio utaelewa.

Utoke msiba home ndio kwanza huwezi jaribu kurudi .
Nitapambana hivyo hivyo 😁

6WaS9 hivi ulishafanikiwa kwenda mbele? Nakumbuka tulikua wote kwa yule jamaa anaeturingishia yupo sijui norway ila hataki ukaribu na mtu
 
Imenikumbusha kundi cha kwaya kanisani kwetu waliondoka 40 na mizigo yao ya vitu vya asili walirudi watu 18 tu tena wazee na wamama wenye watoto vijana wote walipotea hata hayo mashindano yaliyowapeleka hawakufanya

Sisi mwamba 2004 alioelekwa na kanisa kusoma,akirudi awe muinjilist,karudi kakaaa mwezi anasema anasepa zake majuu tena.

Kwa mara ya kwanza naiona laptop kutoka kwa jamaa,tunaangalia video za cd humo,ikitambulika kama computer ndogo kabisa.

Kila kitu kuhusu safari mpya kakamilisha mwenyewe,so kanisa lisijali[emoji16][emoji16].mpaka leo yuko huko.
 
Angel Nyigu nae namuonaga huko Norway

Pale wcb kuna watu lama Salaam wana maujanja na connections za kumpeleka mbongo Marekani.
Mbongo akimuona mtu aidha Ulaya au kwenye TV anaona huyo mtu AMESHATOBOA.

Akili MAVI KABISA.
 
Ustaa mzigo...

Tutakuandika tuu hata kama umbea...
Wanaomuonea wivu Diamond ni wengi. Wengi wanatamani kumuona akishindwa kabisa. Vijana wa kiTanzania sijui wana tatizo gani?. Yoyote kijana mwenzao wa kiTanzania akinifanikiwa kwao ni tatizo.
 
Japo nawasaport hao vijana kwa walichojiongeza. Hongera sana kwao kwa akili kubwa waliyotumia. Wameharibu tu kumchomea mwenzao kwamba walikuwa wanafanyishwa punda. Iwe kweli walifanyishwa au sio kweli. Ilipaswa tu watafute sababu nyingine. Au vinginevyo walikubariana na Diamond
 
Enzi zetu wenyewe zile trips za uscout nje...mambo ya summer cMp nk
Watu wengi walikuwa wanaingia mitini huko
Ila ukiangalia kwa undani basi hawa wcb wamewafanyia usmart maana wengine mkisafiri document zenu zote wanazishikilia uongozi wenu wa safari

Ova
Mie hata documents wabaki nazo wao, wallah nabaki huko huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Imenikumbusha kundi cha kwaya kanisani kwetu waliondoka 40 na mizigo yao ya vitu vya asili walirudi watu 18 tu tena wazee na wamama wenye watoto vijana wote walipotea hata hayo mashindano yaliyowapeleka hawakufanya
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]duh
 
Yaani lazima wafumuliwe marinda hahaha unachezea unaenda sehemu kijinga. Kwa Diamond naamini walikuwa na maisha mazuri ya kitajiri mno kuzidi huko kwenye kufumuliwa marinda. Wewe ndiye choko usijejua nchi za watu.
Nadhani ungefafanua jinsi watakavyofanywa watu wangekuelewa. Ebu eleza..how!?
 
Nadhani ungefafanua jinsi watakavyofanywa watu wangekuelewa. Ebu eleza..how!?
Ulaya including marekani ukiwa huna kazi unakuwa omba omba, sehemu pekee ambayo unaweza onewa huruma ni kuwa shoga, yaani watakuwa wanaenda club za mashoga huko ndiyo marinda yanahusika
 
Baada kurudi Tanzania wakakata ticket na kurudi kimya kimya, sio Marekani ninayoijua, labda uwe na multiple entry ambayo Diamond hakuwa na sababu ya kuikata, ongea mengine.
Hivi hii multiple entry sio kwamba na sisi wabongo tunavoenda kule tunapewa hiyohyo kama wao wanavopewa wakija huku kwetu? Au sisi tunavoenda kule tunapewa ordinal/single entry visa tu then wao tu ndio wanapewa multiple entry visa mkuu? Nieleweshe plz....
 
Visa ya Marekani ni multiple entry, kama ni ya mwaka mmoja unaweza kwenda n kurudi multiple times bila shida yoyote kabla hip mwaka haujaisha.
Sisi tukienda tunapewa hyo multiple visa na wao pia wakija wanapewa hiyohyo mkuu sio? Namaanisha mimi mbongo ili niingie US lazima nipate hyo multiple entry visa na mtu wa US akija huku si anapewa hiyohyo visa pia?
 
Hivi hii multiple entry sio kwamba na sisi wabongo tunavoenda kule tunapewa hiyohyo kama wao wanavopewa wakija huku kwetu? Au sisi tunavoenda kule tunapewa ordinal/single entry visa tu then wao tu ndio wanapewa multiple entry visa mkuu? Nieleweshe plz....

Hata Mmarekani akija huku hapewi Multiple entry, ni kwa kuomba na kutoa sababu.
 
Ujinga kabisa, nyie ndiyo watanzania mnaletea taifa hasara. Hakupaswa kazaliwa kabisa. Unampongeza mtunkwenda kufumuliwa marinda! Una akilo kweli. Watafanya kazi gani huko???

Kwani wewe unafumuliwa marinda na Mama Saha Mihi Haa?
 
Sisi tukienda tunapewa hyo multiple visa na wao pia wakija wanapewa hiyohyo mkuu sio? Namaanisha mimi mbongo ili niingie US lazima nipate hyo multiple entry visa na mtu wa US akija huku si anapewa hiyohyo visa pia?
Sawa kabisa
 
Madansa 3 wa Diamond Platnumz (Hbaajuni, Emma Platnumz na Rama Tosser) wamezamia Marekani kinyemela kwa kutumia Visa za WCB.

Inasemekana mara ya mwisho Diamond Platnumz alivyoenda Marekani aliwakatia Visa za mwaka mmoja mmoja, walivyomaliza kazi na kurudi bongo wakakata ticket za kurudi Marekani kimyakimya.

Diamond Platnumz alienda ubalozi wa Marekani ili kushtaki vijana wawe deported, lakini vijana nao wakajitetea kuwa walikuwa wanafanyishwa shughuli haramu za upunda, na kwa kusema hivyo wanaogopa kurudi bongo kuhofia usalama wao.

View attachment 2813100
US itabaki kuwa kimbilio la vijana wengi tu. Izzo biznes nae kama kasepa hukohuko kwa bideni
 
Madansa 3 wa Diamond Platnumz (Hbaajuni, Emma Platnumz na Rama Tosser) wamezamia Marekani kinyemela kwa kutumia Visa za WCB.

Inasemekana mara ya mwisho Diamond Platnumz alivyoenda Marekani aliwakatia Visa za mwaka mmoja mmoja, walivyomaliza kazi na kurudi bongo wakakata ticket za kurudi Marekani kimyakimya.

Diamond Platnumz alienda ubalozi wa Marekani ili kushtaki vijana wawe deported, lakini vijana nao wakajitetea kuwa walikuwa wanafanyishwa shughuli haramu za upunda, na kwa kusema hivyo wanaogopa kurudi bongo kuhofia usalama wao.

View attachment 2813100
Mondi nae nuksi tu
 
Walienda kwa mgongo wa WCB kama kampuni.

WCB ni kama wadhamini wao...

Ukimdhamini mtu Visa kisha akazamia ni wajibu wako kuripoti, pia itaathiri kuwaombea wengine visa next time..
Acha ushamba wako hao hawajazamia wana viza .
Marekeni wanaweza kupatia visiting visa hata ya miaka 2 multiple entry.
Ndani ya hiyo.miaka unaruhusiwa kuingia na kuondoka usa
 
Back
Top Bottom