Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Nitapambana hivyo hivyo 😁Hahaah huna social security number hahah utakuwa unapiga under the table hadi lini?
Uugue ndio utaelewa.
Utoke msiba home ndio kwanza huwezi jaribu kurudi .
Imenikumbusha kundi cha kwaya kanisani kwetu waliondoka 40 na mizigo yao ya vitu vya asili walirudi watu 18 tu tena wazee na wamama wenye watoto vijana wote walipotea hata hayo mashindano yaliyowapeleka hawakufanya
Mbongo akimuona mtu aidha Ulaya au kwenye TV anaona huyo mtu AMESHATOBOA.Angel Nyigu nae namuonaga huko Norway
Pale wcb kuna watu lama Salaam wana maujanja na connections za kumpeleka mbongo Marekani.
Wanaomuonea wivu Diamond ni wengi. Wengi wanatamani kumuona akishindwa kabisa. Vijana wa kiTanzania sijui wana tatizo gani?. Yoyote kijana mwenzao wa kiTanzania akinifanikiwa kwao ni tatizo.Ustaa mzigo...
Tutakuandika tuu hata kama umbea...
Mie hata documents wabaki nazo wao, wallah nabaki huko huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Enzi zetu wenyewe zile trips za uscout nje...mambo ya summer cMp nk
Watu wengi walikuwa wanaingia mitini huko
Ila ukiangalia kwa undani basi hawa wcb wamewafanyia usmart maana wengine mkisafiri document zenu zote wanazishikilia uongozi wenu wa safari
Ova
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]duhImenikumbusha kundi cha kwaya kanisani kwetu waliondoka 40 na mizigo yao ya vitu vya asili walirudi watu 18 tu tena wazee na wamama wenye watoto vijana wote walipotea hata hayo mashindano yaliyowapeleka hawakufanya
Nadhani ungefafanua jinsi watakavyofanywa watu wangekuelewa. Ebu eleza..how!?Yaani lazima wafumuliwe marinda hahaha unachezea unaenda sehemu kijinga. Kwa Diamond naamini walikuwa na maisha mazuri ya kitajiri mno kuzidi huko kwenye kufumuliwa marinda. Wewe ndiye choko usijejua nchi za watu.
Ulaya including marekani ukiwa huna kazi unakuwa omba omba, sehemu pekee ambayo unaweza onewa huruma ni kuwa shoga, yaani watakuwa wanaenda club za mashoga huko ndiyo marinda yanahusikaNadhani ungefafanua jinsi watakavyofanywa watu wangekuelewa. Ebu eleza..how!?
Hivi hii multiple entry sio kwamba na sisi wabongo tunavoenda kule tunapewa hiyohyo kama wao wanavopewa wakija huku kwetu? Au sisi tunavoenda kule tunapewa ordinal/single entry visa tu then wao tu ndio wanapewa multiple entry visa mkuu? Nieleweshe plz....Baada kurudi Tanzania wakakata ticket na kurudi kimya kimya, sio Marekani ninayoijua, labda uwe na multiple entry ambayo Diamond hakuwa na sababu ya kuikata, ongea mengine.
Sisi tukienda tunapewa hyo multiple visa na wao pia wakija wanapewa hiyohyo mkuu sio? Namaanisha mimi mbongo ili niingie US lazima nipate hyo multiple entry visa na mtu wa US akija huku si anapewa hiyohyo visa pia?Visa ya Marekani ni multiple entry, kama ni ya mwaka mmoja unaweza kwenda n kurudi multiple times bila shida yoyote kabla hip mwaka haujaisha.
Hivi hii multiple entry sio kwamba na sisi wabongo tunavoenda kule tunapewa hiyohyo kama wao wanavopewa wakija huku kwetu? Au sisi tunavoenda kule tunapewa ordinal/single entry visa tu then wao tu ndio wanapewa multiple entry visa mkuu? Nieleweshe plz....
Ujinga kabisa, nyie ndiyo watanzania mnaletea taifa hasara. Hakupaswa kazaliwa kabisa. Unampongeza mtunkwenda kufumuliwa marinda! Una akilo kweli. Watafanya kazi gani huko???
Sawa kabisaSisi tukienda tunapewa hyo multiple visa na wao pia wakija wanapewa hiyohyo mkuu sio? Namaanisha mimi mbongo ili niingie US lazima nipate hyo multiple entry visa na mtu wa US akija huku si anapewa hiyohyo visa pia?
Nilikua nauliza swali mkuu!! Lakini kwa maelekezo hayo ni kama niko sahihi nadhani una maanisha hivoSawa kabisa
US itabaki kuwa kimbilio la vijana wengi tu. Izzo biznes nae kama kasepa hukohuko kwa bideniMadansa 3 wa Diamond Platnumz (Hbaajuni, Emma Platnumz na Rama Tosser) wamezamia Marekani kinyemela kwa kutumia Visa za WCB.
Inasemekana mara ya mwisho Diamond Platnumz alivyoenda Marekani aliwakatia Visa za mwaka mmoja mmoja, walivyomaliza kazi na kurudi bongo wakakata ticket za kurudi Marekani kimyakimya.
Diamond Platnumz alienda ubalozi wa Marekani ili kushtaki vijana wawe deported, lakini vijana nao wakajitetea kuwa walikuwa wanafanyishwa shughuli haramu za upunda, na kwa kusema hivyo wanaogopa kurudi bongo kuhofia usalama wao.
View attachment 2813100
Mondi nae nuksi tuMadansa 3 wa Diamond Platnumz (Hbaajuni, Emma Platnumz na Rama Tosser) wamezamia Marekani kinyemela kwa kutumia Visa za WCB.
Inasemekana mara ya mwisho Diamond Platnumz alivyoenda Marekani aliwakatia Visa za mwaka mmoja mmoja, walivyomaliza kazi na kurudi bongo wakakata ticket za kurudi Marekani kimyakimya.
Diamond Platnumz alienda ubalozi wa Marekani ili kushtaki vijana wawe deported, lakini vijana nao wakajitetea kuwa walikuwa wanafanyishwa shughuli haramu za upunda, na kwa kusema hivyo wanaogopa kurudi bongo kuhofia usalama wao.
View attachment 2813100
PundaaaaaAngel Nyigu nae namuonaga huko Norway
Pale wcb kuna watu lama Salaam wana maujanja na connections za kumpeleka mbongo yeyote majuu, madancer wanatumia hio fursa.
Acha ushamba wako hao hawajazamia wana viza .Walienda kwa mgongo wa WCB kama kampuni.
WCB ni kama wadhamini wao...
Ukimdhamini mtu Visa kisha akazamia ni wajibu wako kuripoti, pia itaathiri kuwaombea wengine visa next time..