Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Siyo kila tajiri ataishi milele kwa furaha na utajiri wake
Siyo kila mwenye madaraka ataendelea kuishi kwa furaha baada ya kuacha madaraka.
Kikwete alipomwachia nchi Hayati Magufuli matosa waliandamana na wale wote waliokuwa wafuasi yake.
Uhuru ameachia madaraka sasa hivi familia yake inanyanyasika na kudhalilika. Walizoea kuishi na walinzi sasa hivi ulinzi aueleweki. Hii baada ya Rutto kuamua kutumia madaraka yake aliyopewa.
Hapa kwetu tunalo la kujifunza; viongozi wetu wasitegemea kuna undugu kwenye biashara ya siasa.
Tujifunze kujisimamia.