Madaraka Nyerere: Kiongozi anamsifia Nyerere lakini hapokei simu zetu

Abdul pokea simu za madaraka sio kutwa kufanya udalali wa rasimali za umma
 
Wapokee simu yake akiwa kama nani? Baba yake angekuwepo angemchapa makofi.
Kama mwananchi aliewachagua..awe na wewe ni miongoni mwa wale wanaomba nafasi ya kuwatumikia wananchi alafu utaki kuwasilikiza baada ya kupigiwa kura? Au unadhani hao viongozi wamejipigia kura?
 


Wazee tujifunze kuandaa watoto wetu kujitegemea na kuwa na Maisha Bora

Maneno mengine ukisikiliza Kwa makini ni kama kuona watoto wa marais wengine bado Wana power somewhere

Hoja yake ina mambo mengi Sana ndani yake

Wazee wa Cuba watakuwa wameelewa
 
Ndiyo mjue tunaongozwa na matapeli tupu, Lucas Mwashambwa njoo huku
 
Hapo umesema vyema Mimi hata km namba ngeni ikipiga nikiwa mbali nikikuta missed call nafsi inanisuta lazima nimtafute nimalizane nae
Ni sahihi kabisa,kwa kuwa tunapokuwa tunaelekea kupumzika usiku bongo zetu ni lazima zipitie daily routine zote na kusolve some issues lakini pia kupanga mikakati ya kesho.
 
Wabongo kwa kukariri! Huu msemo wa ''wazee/waliosoma Cuba wataelewa'' umekaririwa na watu wengi na wengi walioukariri ni vilaza wanaoelewa mambo ndivyi sivyo.
 
Kuimba kupoke zana..
 
Amcheki ndugu yake tu ,mzee wa " tah tah oyee!"
 
Sidhani kwa sababu wanamsema Baba yako Vizuri ni lazima wakuseme wewe vizuri.., Nadhani alikuwa Baba wa Taifa na sio Ukoo wa Taifa...,

Anyway sitetei mtu lakini kuwa kwako mtoto au ukoo wa mtu fulani hakukupi leeway by default
 
Kama mwananchi aliewachagua..awe na wewe ni miongoni mwa wale wanaomba nafasi ya kuwatumikia wananchi alafu utaki kuwasilikiza baada ya kupigiwa kura? Au unadhani hao viongozi wamejipigia kura?
Angesema hivyo na si kumuingiza baba yake na habari za Mwitongo.
 
Wabongo kwa kukariri! Huu msemo wa ''wazee/waliosoma Cuba wataelewa'' umekaririwa na watu wengi na wengi walioukariri ni vilaza wanaoelewa mambo ndivyi sivyo.

Wewe ndio uelewi sasa kutokuelewa kwako usitake wote tuwe kama ww
 
Mtu mmoja yule nilimpigia simu,kafukuzwa kazi na Magufuli,nataka nimpe pole,hataki kujibu simu.
 
AIBU ! UNAFIKI !! VIZURI WATAJWE HAO WANAFIKI
 
Inawezekana anapiga daily na mizinga mingi so wamemchoka. Angempigia mzee wa landrover angeita press kuwaambia watu anashughulikia matatizo ya familia ya hayati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…