Nyerere alifsnya mengi, Ila watoto wake ni vituko kabisa, hakuna tajiri,msomi nguli, wapo wapo tu, wanaishi kwa handouts tu! Yaani umeshindwa hata kuwa mfanyabiashara wa mazao, vipodozi nkInaonekana kuwa mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ametukanwa na watu wengi baada ya kuzinduliwa Sanamu la hayati Nyerere huko Ethiopia, Makao Makuu ya Umoja wa Afrika AU.
Kupitia ukurasa wake wa "X" Madaraka amesema,
"Matusi niliyotukanwa yangekuwa mtaji ningeanzisha benki. #sanamu"
View attachment 2913192
Ikumbukwe kuwa Madaraka alihusika kwenye mchakato wa kulijenga Sanamu la Baba wa Taifa na pia ni moja ya watu waliosema kuwa Sanamu lililojengwa linafanana na Baba yake licha ya Watu wengi kukataa.
Mjanja M1 ✍️
Takataka zote hizo. Watu wanabishania sanamu.Msijifanyie Sanamu ya kuchoma 🐼
hile sanamu mbona kafanana nayo huyu madaraka?Inaonekana kuwa mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ametukanwa na watu wengi baada ya kuzinduliwa Sanamu la hayati Nyerere huko Ethiopia, Makao Makuu ya Umoja wa Afrika AU.
Kupitia ukurasa wake wa "X" Madaraka amesema,
"Matusi niliyotukanwa yangekuwa mtaji ningeanzisha benki. #sanamu"
View attachment 2913192
Ikumbukwe kuwa Madaraka alihusika kwenye mchakato wa kulijenga Sanamu la Baba wa Taifa na pia ni moja ya watu waliosema kuwa Sanamu lililojengwa linafanana na Baba yake licha ya Watu wengi kukataa.
Mjanja M1 ✍️
Ni kweli sanamu hilo linafanana na Madaraka zaidi kuliko Julius.Inaonekana kuwa mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ametukanwa na watu wengi baada ya kuzinduliwa Sanamu la hayati Nyerere huko Ethiopia, Makao Makuu ya Umoja wa Afrika AU.
Kupitia ukurasa wake wa "X" Madaraka amesema,
"Matusi niliyotukanwa yangekuwa mtaji ningeanzisha benki. #sanamu"
View attachment 2913192
Ikumbukwe kuwa Madaraka alihusika kwenye mchakato wa kulijenga Sanamu la Baba wa Taifa na pia ni moja ya watu waliosema kuwa Sanamu lililojengwa linafanana na Baba yake licha ya Watu wengi kukataa.
Mjanja M1 ✍️
Ndiyo maana anaiteteaNi kweli sanamu hilo linafanana na Madaraka zaidi kuliko Julius.
Mkewe ndio angetoa jibu sahihi kuliko watoto, kwani alikutana na Nyerere kabla ya watoto kutokea!!kama mtoto wake kaikubali hiyo sanamu,wanaoikataa wachonge ya kwao wakaishindanishe na hiyo inayokataliwa.maana imekuwa nongwa
Nina mashaka makubwa kuwa jamaa alikumbwa na hallucination wakati aki-confirm ile sanamu!Inaonekana kuwa mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ametukanwa na watu wengi baada ya kuzinduliwa Sanamu la hayati Nyerere huko Ethiopia, Makao Makuu ya Umoja wa Afrika AU.
Kupitia ukurasa wake wa "X" Madaraka amesema,
"Matusi niliyotukanwa yangekuwa mtaji ningeanzisha benki. #sanamu"
View attachment 2913192
Ikumbukwe kuwa Madaraka alihusika kwenye mchakato wa kulijenga Sanamu la Baba wa Taifa na pia ni moja ya watu waliosema kuwa Sanamu lililojengwa linafanana na Baba yake licha ya Watu wengi kukataa.
Mjanja M1 ✍️
Karma inafanya kazi tujifunze kukwepa maovu ili uzao wetu ukawe wa neema na sio laanaNyerere alifsnya mengi, Ila watoto wake ni vituko kabisa, hakuna tajiri,msomi nguli, wapo wapo tu, wanaishi kwa handouts tu! Yaani umeshindwa hata kuwa mfanyabiashara wa mazao, vipodozi nk