Madawa ya Kulevya: Aisha Bui (mke mwenza na Amina chifupa) nae akamatwa Brazil


Injinia,tunamhurumia mtu kwa matatizo ya kujitakia,awe anatoa au anaingiza,biashara hii haifai,na kuhusu kuchafuliwa,ni kadhia ambazo watz wanatoa ushuhuda wa kukumbana nazo kwenye viwanja vya ndege huko ughaibuni,pindi waoneshapo Pass za TANZANIA
 

..........Miaka 2 au 3 iliyopita....... ilikuwa rahisi sana kuamini habari za matukio ukizikuta hapa jamvini........lakini kadiri siku zinavyokwenda ndivyo imani inapozidi kutoweka......Ni vyema tukajaribu kuepuka habari za uzushi na kupakana matope hasa pale tusipokuwa na uhakika nazo.....tuwaachie wengine ambao wako kwa ajili ya habari za aina hiyo..... ni mawazo yangu tu.......

MICHARAZO MITUPU: Aisha Bui akana kukamatwa na 'unga' Brazili, adai yu salama Afrika Kusini
 
kuwaalika hawa wabeba unga ikulu wakafuturu


Huyu mutu ni wa hajabu sana. Hospitali kakribia zote za wilaya hapa Dar haswa wodi za kina mama na watoto hazina vitanda huu sijuwi mwaka wa ngapi sasa hatulioni hili tatizo kutatuliwa, ila msanii wa bongo fleva akiathirika na unga unaouzwa na wabunge wa CCM Mh. Mtukufu Mungu rais anachukua madaraka ya kuwatibia na kuwauliza eti unga una radha gani pale wanapo pona. Huyu msanii naye pia inabidi ashitakiwe.
 
Hivi huyu mwanamke wa kwenye picha hii ni mzuri?
.....Mkuu Jimmy Santadio.... hakuna mwanamke mzuri au mbaya duniani.......uzuri/ubaya ni sifa....na katika sifa ni lazima kuwa na vigezo.......na vigezo kila mmoja yuko huru kujiwekea vyake.......hivyo ni vigumu sana kujadili kama mwanamke ni mzuri au mbaya hapa jamvini kabla kwanza hamjakubaliana katika vigezo.........ni mawazo yangu tu.......
 
Wasichana wadogo, warembo.
Shule walisomeshwa kwa gharama kubwa,
Wanaishia kuwa punda wabeba mizigo.

Na wamama watu wazima kama Mamndenyi
nao wanaamua kuwa punda wabeba mizigo, loooh.

Vijana wenye nguvu marijali nao wanaamua kuwa
punda wabeba mizigo.

Hivi ni kwanini hii yote.
 
Last edited by a moderator:


Mkuu Mtanzania1 achana na hizi blog za udaku. Wazazi wake wamekiri ni kweli mtoto wao amekamatwa, pia taarifa zipo kwa Nzowa. Aisha hayupo SA kama unavyotaka kutuaminisha.
 
Last edited by a moderator:
hawa huwa hawakomi. akili zao sijui ziko sehem gani ya mwili. Pamoja na wote hawa kukamatwa bado kuna wengine wanapaki mzigo waanze safari. wengine tayar wapo airport na mzigo.

akili kama za nyumbu wakitaka kuvuka mto, japo wanaona wenzao wanaliwa na mamba ila wengine wataendelea kuingia kwenye maji ya mto ili wavuke. :A S angry:
 
Hizi ndizo akili za nyumbu, wengine wanakufa mtoni nao wanakimbilia hukohuko.
 
Kwa akili yako unadhani suala la madawa ya kulevya ni suala la vyama vya siasa, madawa ya kulenya hayana itikadi.

Well said but sometimes you are unpredictable Mkuu
 
Ndugai karibu anafanikiwa kutekeleza kazi ya kuiua CCM!hivi nyinyi CCM akili zenu zikoje?mbona ni akili ndogo tu kujua kwamba matendo ya Ndugai yanafanya upinzani kukua?hivi amuoni upinzani unavyozidi kupata umaarufu kutokana na matendo ya Ndugai bungeni?hivi nyinyi akili zetu zipo wapi?mbona inakuwa vigumu sana kufikiri!!!!huyu jamaa nadhani ametumwa sio bure!yaani hata hili imekuwa vigumu kuliona jamani?NDUGAI YUPO KAZINI SHAURI YENU
 
Vitumbua havipikwi...
Vitumbua vinachomwa, na siku hizi wanaochoma ni wanaume...


Nasikitika tunahama kwenye mada lakn vitumbua havichomwi...waweza choma mahindi, mihogo, viazi lakini vitumbua vyaweza 'kaangwa' lakini huwezi kuvichoma...ni sawa na wanaosema 'kuchoma' chips????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…