Madawa ya Kulevya: Aisha Bui (mke mwenza na Amina chifupa) nae akamatwa Brazil

Kumbe ndiyo maana marehemu Mpakanjia aliamua kumwoa baada ya kumwacha Amina? Kumbe alioa mtu ambaye hataweza kuchafua hali ya hewa kama marehemu Amina? Aise, kunguru wanaofanana wanaruka pamoja. Rest in peace dada yetu mpendwa Amina. Ninataka sheria mpya ya madawa itamke wazi kuwa mtanzania akipatikana na madawa na ikawa proved beyond doubt basi atanyongwa!!! Punda wakiogopa kubeba basi na wafuga punda watakosa biashara maana wao hawataki kuwa wahanga.
 
MICHARAZO MITUPU: Aisha Bui akana kukamatwa na 'unga' Brazili, adai yu salama Afrika Kusini
 
Yale maisha bora kwa kila mtanzania yaliota mbawa ndiyo maana vijana hawana cha kufanya maana na ajira walizoahidiwa hakuna!!! Tumebaki kuwanyonywa watanzania damu kwa kodi kubwa kila eneo, na bima hovyo tu. Hivi huu msamiati wa "Maisha bora kwa kila mtanzania kwa kasi, ari na nguvu mpya au zaidi umeishia wapi? Wanasiasa msicheze na maisha ya watanzania.
 
Yaani ma GREAT THINKER...Munapoteza muda kuchangia uzi kama huu..ambao sourse yenyewe ni ya UDAKU(SINTAH)
 
Hakuna jitihada za dhati kabisa za kupambana na hii bizness,hata mwakyembe,he's blind us,mbona wachina wanajitahidi???iweje mtu akamatwe na unga then uambiwe uchunguz unaendelea,na isitoshe kesi zinakaa mpaka miaka 10
 
MICHARAZO MITUPU: Aisha Bui akana kukamatwa na 'unga' Brazili, adai yu salama Afrika Kusini

ni wewe wema_1 ndo ulikanusha kuwa MKWANDA matumla hajakamatwa na leo umekuja na ya Aisha,watu wanahisi na wewe muuza poda au PUNDA
 
Last edited by a moderator:
ukweli unaweza kufichwa lakini unajulikana baadae hata kama unayemhusu hayupo kimwili lakini utaweza kuathiri maisha ya uhai wake positively au negatively. Tena huu umetumia muda kidogo tu maana ukweli mwingine unaweza kukaa hata miaka zaidi ya 50++!

Khaa!! wanawake wengine kichwani ni zero kabisa. mbona huyu dem ni kisu kikali tu kama angeenda kutega pale bungeni angewakamata wengi na angepata mshiko wa nguvu tuu tena wa uhakika kuliko alivyoamua kuhangaika na sembe. Ndiyo hawa wajinga wana uchumi halafu wameukalia:A S angry:
 
Naomba ni sign-out!
 
Batoto!

Hawataki kula mavumbi ya - kilimo/machinga/kupika maandazi na chapati - wao wanaona noma...sasa wanakula vumbi la gerzani!
 
ni wewe wema_1 ndo ulikanusha kuwa MKWANDA matumla hajakamatwa na leo umekuja na ya Aisha,watu wanahisi na wewe muuza poda au PUNDA

Yaani ma GREAT THINKER...Munapoteza muda kuchangia uzi kama huu..ambao sourse yenyewe ni ya UDAKU(SINTAH)
 
Last edited by a moderator:
Yaani ma GREAT THINKER...Munapoteza muda kuchangia uzi kama huu..ambao sourse yenyewe ni ya UDAKU(SINTAH)
 
Na sasa wamebuni njia mpya...huyu kakamatwa Colombia Sept 11...mnaokagua muwe makini na wenye mimba...wengine ni fake

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…