Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Kumbe ndiyo maana marehemu Mpakanjia aliamua kumwoa baada ya kumwacha Amina? Kumbe alioa mtu ambaye hataweza kuchafua hali ya hewa kama marehemu Amina? Aise, kunguru wanaofanana wanaruka pamoja. Rest in peace dada yetu mpendwa Amina. Ninataka sheria mpya ya madawa itamke wazi kuwa mtanzania akipatikana na madawa na ikawa proved beyond doubt basi atanyongwa!!! Punda wakiogopa kubeba basi na wafuga punda watakosa biashara maana wao hawataki kuwa wahanga.