Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
uko mbali hata mikonoMmmmh. Mshike mshike
Alisemaga sijui anafungua kiwanda?Aseeh ni hatari kama ukweli hivi...
BTW kwani zile 500M za Idris zimeisha?
kiwanda cha nini?Alisemaga sijui anafungua kiwanda?
Alimkopesha SepengaAseeh ni hatari kama ukweli hivi...
BTW kwani zile 500M za Idris zimeisha?
ivi kuna uhakika gan kwamba hela zake zimeisha.. unajua mimi siamin eeh
mmh ilo nalo neno..Huwezi kuwa na milioni 500 afu ukubali kuajiriwa kama una akili timamu
Mkuu mambi ya mtu ni ngumu sana kuyafahamu kama hajayasema mwenyewe. Pengine idris kawekezaivi kuna uhakika gan kwamba hela zake zimeisha.. unajua mimi siamin eeh
Ha ha ha ha utakufikia soonuko mbali hata mikono
Haikufkii[emoji12] [emoji12]
Triple A
Huyu na Richard ni pipa na mfunikoMjinga huyu dogo kasahau yeye alitakiwa kuwa mbali na mfano kwa vijana wengine
Huyu na Richard ni pipa na mfuniko
Teh teh...Mwisho Nilijua yupo Namibia..Anafanya nini na Zola D sasa..Naye ananyanyua Vyuma ama?Watu wanaoshiriki big brother sijui wanakumbwa na laana gani..mwisho siku hizi yupo na zola d [emoji23][emoji23]