Madee na IdrisSultan wachambana.

Madee na IdrisSultan wachambana.

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
6751cc4838cbcfddbd9c4a03f17045f1.jpg

Je MadeeAli yuko sahihi alivyomjibu Idris Sultan.
Nawe dondoka hapa.
 
Aseeh ni hatari kama ukweli hivi...

BTW kwani zile 500M za Idris zimeisha?
 
Mjinga huyu dogo kasahau yeye alitakiwa kuwa mbali na mfano kwa vijana wengine
 
Watu wanaoshiriki big brother sijui wanakumbwa na laana gani..mwisho siku hizi yupo na zola d [emoji23][emoji23]
Teh teh...Mwisho Nilijua yupo Namibia..Anafanya nini na Zola D sasa..Naye ananyanyua Vyuma ama?
 
Back
Top Bottom