Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Tuna safari ndefu sana coz wananchi wenyewe hata hawawez kutafsiri sheria wao huona/hufuata kila kinachoamrishwa na serikali na wanatii na wewe ukiwa muelewa wa sheria huna mtetezi maana unapingana na serikaliHapo ndo utajua shida ya Nchi hii sio katiba wala Sheria.
Shida Yetu ni Utamaduni wa Kufuata hizo sheria/Katiba.
Katiba ni kijitabu fulani tu hivi, alisikika mlevi mmoja akibwatuka.Hapo ndo utajua shida ya Nchi hii sio katiba wala Sheria.
Shida Yetu ni Utamaduni wa Kufuata hizo sheria/Katiba.
Wakili Peter Madeleka amesema kuwa hakuna sheria yoyote inayolipa Jeshi la Polisi mamlaka ya kutoa au kuzuia vibali vya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa. Akifafanua kuwa, kwa mujibu wa sheria za nchi, jukumu la vyama vya siasa vinapotaka kufanya mikutano hiyo sio kuomba kibali, bali ni kutoa taarifa tu kwa jeshi hilo ili liweze kuratibu ulinzi na usalama.
Soma: Madeleka: Katambi amekosea, hana mamlaka ya kumwamrisha IGP Madeleka
Madeleka alibainisha kuwa kifungu cha 43 cha Sheria ya Polisi na Polisi Wasaidizi (Sura ya 322 ya Sheria za Tanzania) kimeeleza wazi utaratibu huo na hakuna mahali popote panapotaja neno "kibali".
"Hakuna sheria yoyote ile Tanzania ambayo imelipa mamlaka Jeshi la Polisi kutoa vibali.
Naomba nirudie. Hakuna sheria yoyote ile ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo imelipa mamlaka Jeshi la Polisi liwe linatotoa vibali kwa vyama vya siasa ili viweze kufanya mikutano ya hadhara.
Hakuna mahala popote kwenye sheria ile pametajwa neno kibali. Kwamba Polisi wana mamlaka ya kutoa kibali au wana mamlaka ya kutokutoa kibali kwa chama chochote cha siasa kinachotaka kutoa... kufanya mikutano ya hadhara."
Umeelewa ila unajitoa akili.Wanasheria wengi wanajiita wasomi lakini hawajui Sheria.
Kwahyo hakuna Sheria ya kuanzisha mikusanyiko?
Siyo kweli.Umeelewa ila unajitoa akili.
Unaambiwa hiyo Sheria haitamki kuomba kibali ni kutoa taarifa tu ili upate ulinzi kama Askari wakiamua ufanye mikutano pasipo wao kuwepo ni wewe tuu.
Hizo Sheria wamezitunga wao, nanyi tungeni za kwenu.Sasa Mbona wanajichukulia Sheria mkononi😀😂😂.
Exactly hatuna utamaduni wa kuzifuata, huko juu hawatozifuata bali maagizo ya mtuHapo ndo utajua shida ya Nchi hii sio katiba wala Sheria.
Shida Yetu ni Utamaduni wa Kufuata hizo sheria/Katiba.
Punguza ujinga kidogo, na kulamba makalio sio ajira wala sifaWanasheria wengi wanajiita wasomi lakini hawajui Sheria.
Kwahyo hakuna Sheria ya kuanzisha mikusanyiko?
Hujui kitu badala uombe ueleweshwe ww unatukanaPunguza ujinga kidogo, na kulamba makalio sio ajira wala sifa
Sio na mwehu kama weweHujui kitu badala uombe ueleweshwe ww unatukana
Pole sanaSio na mwehu kama wewe