Madeleka: Hakuna sheria inayoruhusu Jeshi la Polisi kutoa vibali vya mikutano kwa vyama vya siasa

basi kumbe hakuna haja ya hata katiba mpya tuliyo nayo nzuri tatizo haifuatwi
 
Wakili Peter Madeleka amesema kuwa hakuna sheria yoyote inayolipa Jeshi la Polisi mamlaka ya kutoa au kuzuia vibali vya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa. Akifafanua kuwa, kwa mujibu wa sheria za nchi, jukumu la vyama vya siasa vinapotaka kufanya mikutano hiyo sio kuomba kibali, bali ni kutoa taarifa tu kwa jeshi hilo ili liweze kuratibu ulinzi na usalama.

Soma: Madeleka: Katambi amekosea, hana mamlaka ya kumwamrisha IGP Madeleka

Madeleka alibainisha kuwa kifungu cha 43 cha Sheria ya Polisi na Polisi Wasaidizi (Sura ya 322 ya Sheria za Tanzania) kimeeleza wazi utaratibu huo na hakuna mahali popote panapotaja neno "kibali".

"Hakuna sheria yoyote ile Tanzania ambayo imelipa mamlaka Jeshi la Polisi kutoa vibali.

Naomba nirudie. Hakuna sheria yoyote ile ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo imelipa mamlaka Jeshi la Polisi liwe linatotoa vibali kwa vyama vya siasa ili viweze kufanya mikutano ya hadhara.

Hakuna mahala popote kwenye sheria ile pametajwa neno kibali. Kwamba Polisi wana mamlaka ya kutoa kibali au wana mamlaka ya kutokutoa kibali kwa chama chochote cha siasa kinachotaka kutoa... kufanya mikutano ya hadhara."

Kweli kabisa. navyofahamu mnawapa polisi taarifa ili wawepo ilo eneo kuweka ulinzi kusiwe na vurugu au mambo ya kihalifu sababu kuna mkusanyiko ila sio kuwaomba kibali
 
Wakili Peter Madeleka amesema kuwa hakuna sheria yoyote inayolipa Jeshi la Polisi mamlaka ya kutoa au kuzuia vibali vya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa. Akifafanua kuwa, kwa mujibu wa sheria za nchi, jukumu la vyama vya siasa vinapotaka kufanya mikutano hiyo sio kuomba kibali, bali ni kutoa taarifa tu kwa jeshi hilo ili liweze kuratibu ulinzi na usalama.

Soma: Madeleka: Katambi amekosea, hana mamlaka ya kumwamrisha IGP Madeleka

Madeleka alibainisha kuwa kifungu cha 43 cha Sheria ya Polisi na Polisi Wasaidizi (Sura ya 322 ya Sheria za Tanzania) kimeeleza wazi utaratibu huo na hakuna mahali popote panapotaja neno "kibali".

"Hakuna sheria yoyote ile Tanzania ambayo imelipa mamlaka Jeshi la Polisi kutoa vibali.

Naomba nirudie. Hakuna sheria yoyote ile ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo imelipa mamlaka Jeshi la Polisi liwe linatotoa vibali kwa vyama vya siasa ili viweze kufanya mikutano ya hadhara.

Hakuna mahala popote kwenye sheria ile pametajwa neno kibali. Kwamba Polisi wana mamlaka ya kutoa kibali au wana mamlaka ya kutokutoa kibali kwa chama chochote cha siasa kinachotaka kutoa... kufanya mikutano ya hadhara."

ikiwa ni hivyo,
huyo wakili mlevi magereka,
si akishauri chama chake kiendelee na mikutano bila kibali cha polisi na itapendeza zaidi, kuliko kumbwelambwela nonsense namna hiyo ili kutafuta kiki?:pulpTRAVOLTA:
 
Inashangaza kuona chama kilichoshinda uchaguzi kwa 97.6% kinakiogopa chama ambacho hakikushiriki kwenye huo uchaguzi! Huku kikiwa pia hakina mwakilishi yeyote yule kwenye bunge na maeneo mengine.

Kuna jambo la kujiuliza hapa.
 
Sasa yule waziri mwenye meno ya njano alitoa wapi hiyo ya kuagiza jeshi la polisi lisitishe utoaji wa vibali vya kufanya mikutano ya kisiasa?!.
Hayo ndiyo matatizo ya kuteua wachunga ng'ombe kuwa mawaziri.
Mtu amekua akiongoza wanyama porini mwishowe na binadamu wenzie anawachukulia kama ng'ombe
 
Wakili Peter Madeleka amesema kuwa hakuna sheria yoyote inayolipa Jeshi la Polisi mamlaka ya kutoa au kuzuia vibali vya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa. Akifafanua kuwa, kwa mujibu wa sheria za nchi, jukumu la vyama vya siasa vinapotaka kufanya mikutano hiyo sio kuomba kibali, bali ni kutoa taarifa tu kwa jeshi hilo ili liweze kuratibu ulinzi na usalama.

Soma: Madeleka: Katambi amekosea, hana mamlaka ya kumwamrisha IGP Madeleka

Madeleka alibainisha kuwa kifungu cha 43 cha Sheria ya Polisi na Polisi Wasaidizi (Sura ya 322 ya Sheria za Tanzania) kimeeleza wazi utaratibu huo na hakuna mahali popote panapotaja neno "kibali".

"Hakuna sheria yoyote ile Tanzania ambayo imelipa mamlaka Jeshi la Polisi kutoa vibali.

Naomba nirudie. Hakuna sheria yoyote ile ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo imelipa mamlaka Jeshi la Polisi liwe linatotoa vibali kwa vyama vya siasa ili viweze kufanya mikutano ya hadhara.

Hakuna mahala popote kwenye sheria ile pametajwa neno kibali. Kwamba Polisi wana mamlaka ya kutoa kibali au wana mamlaka ya kutokutoa kibali kwa chama chochote cha siasa kinachotaka kutoa... kufanya mikutano ya hadhara."

Screenshot_20260624-083114.png
 
Hayo ndiyo matatizo ya kuteua wachunga ng'ombe kuwa mawaziri.
Mtu amekua akiongoza wanyama porini mwishowe na binadamu wenzie anawachukulia kama ng'ombe
Kuna wachungaji wengi tu...wana akili timamu kuliko yule mchumia tumbo!
 
Wanasheria wengi wanajiita wasomi lakini hawajui Sheria.
Kwahyo hakuna Sheria ya kuanzisha mikusanyiko?
Mwenyewe nimeahangaa, unajua hii minyumbu inapelekwa kipumbavu sana na ndo maana inapigwa tone tone Kila siku. Kuna jambo unalisikia linasemwa nao unajiuliza na unapata jibu tu kuwa hii si kweli.....Kuna vitu inaviruka kwa maslahi ya kuchuma akili za nyumbu wao.
 
Mikusanyiko ipo mingi ipo ya makanisani misikitini hata mtaa wa congo soko la ilala mazense ipo mikusanyiko mingi nao wamepewa vibali na polisi ndipo wakajikusanya?
 
Poleni sana nyumbu, ila sio mbaya endeleeni kujifariji namna hii.
Nyumbu ni nyie mliojitoa Data baada ya kuvuta ndumu mkaona mikusanyiko eti ni kosa wakati hata uwanja wa soka basketball boxing nk misibani sherehe za harusi birthday matamasha ni mahospt kwenda kuona wagonjwa kujikusanya kwenye mabasi ya mwendo kasi napo nyie mnatoa kibali?
 
Mwenyewe nimeahangaa, unajua hii minyumbu inapelekwa kipumbavu sana na ndo maana inapigwa tone tone Kila siku. Kuna jambo unalisikia linasemwa nao unajiuliza na unapata jibu tu kuwa hii si kweli.....Kuna vitu inaviruka kwa maslahi ya kuchuma akili za nyumbu wao.
Wewe ndiyo nyumbu kwani tone tone ina tofauti gani na sadaka misikitini na makanisani ambapo ni mikusanyiko pia wewe ndiyo pumbavu bangi zinakupeleka kipumbavu hadi uwapangie vyama vingine jinsi ya kuendesha siasa wakati kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali kwa mujibu wa katiba
 
ikiwa ni hivyo,
huyo wakili mlevi magereka,
si akishauri chama chake kiendelee na mikutano bila kibali cha polisi na itapendeza zaidi, kuliko kumbwelambwela nonsense namna hiyo ili kutafuta kiki?:pulpTRAVOLTA:
Wewe ndiyo mlevi kwani unachokipinga kipo kwenye katiba na sheria unasaka uteuzi mpaka umejitoa fahamu zote
 
basi kumbe hakuna haja ya hata katiba mpya tuliyo nayo nzuri tatizo haifuatwi
Katiba iliyopo inayo mengi mazuri tatizo na wale wanaotakiwa kufuata sheria wamejitoa fahamu zote wanaenda kienyeji
 
Back
Top Bottom