Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
ccm washazoea kunyonga; wana nyonga kila kitu hadi taratibu zao wenyewe wanazotumia kunyonga!Katiba iliyopo inayo mengi mazuri tatizo na wale wanaotakiwa kufuata sheria wamejitoa fahamu zote wanaenda kienyeji