Umeelewa ila unajitoa akili.
Unaambiwa hiyo Sheria haitamki kuomba kibali ni kutoa taarifa tu ili upate ulinzi kama Askari wakiamua ufanye mikutano pasipo wao kuwepo ni wewe tuu.
Na ukipatwa na tatizo utawashtaki kuwa hawakuja kutoa ulinzi ilhali uliwataarifu. Wao kazi yao ni kulinda usalama, kuzuia mikutano. Wanajipa mamlaka yasiyo ya kisheria
Madeleka sijawahi muelewa labda mbeleni huko. Anavichwa viwili na midomo miwili, sio wakumuamini hata kidogo. Body language yake inajieleza yeye ni nani.Sijui kama sheria anaifaham vizuri huenda anaifahamu lakin kama nilivosema.
Sina maana hiyo !?.