John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Japokuwa simuamini-amini mtu huyu, lakini kwenye hili naona ana hoja ya msingi. Namuunga mkono.
Kwanini wawe ni Bakari na Shomari tu ina maana hawakuwa na wengine? Je kwanini hawakuwahoji wataje wenzao wanaoshirikiana nao? Je kwanini hao polisi waliwapiga risasi miguuni wale ndugu wa hao marehemu?Iki ni kichak cha kuua watoto wetu polisi wanatakiwa kudhibitisha upanya road je wataweza?
Ngoja waue awapendao atarudi na taarifa nyingineAlichoandika Peter Madeleka.
Hakuna βPANYA ROADβ anastahili KUULIWA bila kufikishwa MAHAKAMANI kwa mujibu wa KATIBA na SHERIA za nchi yetu. Nitakwenda MAHAMANI ili KUTHIBITISHA UONGO juu ya MAUAJI ya RAIA hao hapo.
Upo USHAHIDI wa KIMAHAKAMA kwamba POLISI waliwahi KUUWA wafanyabiashara wa MADINI kutoka MAHENGE mwaka 2006 halafu wakasema ni βMAJAMBAZIβ kumbe ni UONGO.
View attachment 2858737
Ana mudaHuyu wakili anahangaika sana kutafuta attention ... he is all over the contry putting his hands on every case
Bahati mbaya zaidi ya 99% wakiochangia ni kama huyo uliemjibu. Inasikitisha sana.Akili zako ni ndogo sana.Kama huoni makosa kwenye huo ujinga wa polisi iko siku utayaona alafu utakua umechelewa.
Very trueTwo wrongs do not make a right.
Wewe jamaa nimechaka kwenye daladala hapa kama kichaa πππππSubiri siku waingie home kwake huyo madeleka wambake mkewe kisha yeye apakwe mafuta ya nazi
Hao ni vibaka waliyokubuhuJeshi letu ni la kisasa, mwenye rekodi za hao jamaa angesaidia sana. Haiwezi kuwa bure bure tu hao ni wahalifu sugu
Kwani mambo haya yameanza leoAkili zako ni ndogo sana.Kama huoni makosa kwenye huo ujinga wa polisi iko siku utayaona alafu utakua umechelewa.
Mimi huko kuna kijana wangu anaishiSiyo probably ni panya road.
Kuna video Jambo TV walikuwa wanahoji watu mtaani hapo.
Kuna mama analia mtoto wake kafa alichomwa kisu.
Kuna mzee ulinzi shirikishi kakatwa mapanga.
Kuna kijana kachomwa visu mgongoni na mbavuni kwa nyuma wanasema utumbo ulikuwa inaonekana. Huyu kijana aliwasikia wanaitana majina yao wanasema tuondoke ishakuwa jau. Aliwajua hadi kwa sura.
Watu hatari na wapumbavu kama hao lazima wauwawe mapema kabla hawajawatia vilema na kuuwa watu wengi.
Madeleka asilete siasa au kutafuta umaarufu. Tunataka polisi waache kuwaondolea kero raia tuanze kupiga kelele polisi wako wapi hadi watu wanauwawa hivi?
Hao chaukucha family walikuwa balaa sana,walikuwa nyuma ya timu ya mpira walikuwa wakicheza mechi wakishinda watu wa barabarani watakoma,na wakifungwa refarii roho yake inawekwa rehani mpira hautafika dakika 90,kitambo sana umenikumbushaKwani mambo haya yameanza leo
Kuna watu wakichokwa huwa wanamalizwa tu
Nenda ilala kawaulize wale waliyokuwa wanajiita cha ukucha
Nini kiliwakuta,
Ova
Mkuu watu wanafanya kazi 2 mbili kawaida tu.Tutashukuru kwasababu ukweli utajulikana. Tena anzia na kazini kwa Marehemu mmoja wapo ambaye aliajiriwa na kampuni ya GS Group Limited na ametekwa muda mfupi toka atoke kazini