Madeleka: Serikali itakuwa inasema uongo wananchi hawajahi kutoa maoni kuhusu Mikataba ya HGA

Madeleka: Serikali itakuwa inasema uongo wananchi hawajahi kutoa maoni kuhusu Mikataba ya HGA

Huyo mvuta unga kwani Bado yupo?

Kwani unadhani mvuta unga huwa anajijua kama mvuta unga?

F6kGqZLXMAATAgq.jpeg
 
We huyo mjinaga tu na anafahamu wajinga ndiyo waliwao.

Haelewi hata anaongea nini, anafoka foka tu.
Hivi wewe unajiona una akili timamu. Bibi tulia, huna kiwango cha akili ya kuweza kuelewa mambo haya makaubwa yanayojadiliwa. Akili yako iliishia pale kwenye ngono, uliposema kuwa waje Waarabu mpate wanaume wa kiarabu.
 
Msitupotezee muda, hiyo hoja imekwisha. DP WORLD anaanza kazi tarehe 1 Novemba. 2023. Huo ndiyo mwisho wa mirija yenu ya wizi.

Kama Madeleka na wenzio hamna kazi ya kufanya shauri yenu, lakini watanzania tunataka kuona efficiency ya TPA ikipanda na makusanyo ya TRA yakiongezeka, period.
Hujawahi kudhihirisha kuwa una utimamu wa akili.
 
Back
Top Bottom