Mademu bandia wa ELON MUSK marobot wawa gumzo Duniani

Umenitia nyege we mama.
 
We all thank Mr ellon musk for this wonderful discovery, sasa hatutapasuliwa vichwa tena na hawa wanaojiita pisi kali.
 
Bad news.
Ni prank.
Hakuna cha maroboti wala nini.
Mko na sisi mpende msipende hamna pa kwenda🤣
Tunamshukuru sana ndugu Ellon musk kwa huu ugunduzi, hii itatuweka huru dhidi ya hawa binadamu wenzetu ambao kwa muda mrefu wametunyima amani ya maisha!
 
Kumbe uko attracted na watoto eeh🤣.
Keep away from children 🤣
Nitaoa tu! Mtoto mmoja wa kitasha maana I love cold blood at all, Nyinyi wakienyeji mnazingua sana halafu hamporeal sijui kwa nini...Mko after money kwelikweli...
 
Bad news.
Ni prank.
Hakuna cha maroboti wala nini.
Mko na sisi mpende msipende hamna pa kwenda🤣
I was aware about this!
Ila bado my plan is to get married with a real white lady...!!
Napenda namna walivyo na mahusiano ya kweli, Na wako na future sana!
Hata suala la family planning halita nisumbua kwakweli..

Nyinyi endeleeni kubanana na wazaramo hapahapa😂😂😂
 
Wanawake heshima itaongezeka,mimi nitamnunua awe house girl home
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…