Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gumzo kivipNina mpango wa kukununua moja nimpeleke kwangu aise yanavutia madude unaambiwa yanatoa huduma zote tofauti kuzaa tu View attachment 2639222
Mi hela ninazo zangu ila siku mpenz akijisikia kunipa huwa inafurahisha sanaaa🤣Nitaoa tu! Mtoto mmoja wa kitasha maana I love cold blood at all, Nyinyi wakienyeji mnazingua sana halafu hamporeal sijui kwa nini...Mko after money kwelikweli...
Sina cha kusema coz inaonekana ushaamua.I was aware about this!
Ila bado my plan is to get married with a real white lady...!!
Napenda namna walivyo na mahusiano ya kweli, Na wako na future sana!
Hata suala la family planning halita nisumbua kwakweli..
Nyinyi endeleeni kubanana na wazaramo hapahapa😂😂😂
Sawa ni vizuri kusikia hivyo😂😂😂Mi hela ninazo zangu ila siku mpenz akijisikia kunipa huwa inafurahisha sanaaa🤣
Then kuku wa kienyeji mim Im the realiest thing ever.
Sawa watapatikana tu ahsante kwa kubariki hilo😂😂😂Sina cha kusema coz inaonekana ushaamua.
Nasubiri uniletee hao mashangaz point five(chotara) niringishie mashoga zangu.
Viwajomba vyakovitakua vyeusiiiii tiii wakikaa na hao wa kwako weupe peee sijui itakuaje🤣Sawa watapatikana tu ahsante kwa kubariki hilo😂😂😂
😂😂😂😂 wajomba zangu ni weupe uzuri mmoja kwetu rangi nyeupe ni asili kutoka upande wa mama...🤣🤣🤣Viwajomba vyakovitakua vyeusiiiii tiii wakikaa na hao wa kwako weupe peee sijui itakuaje🤣
Namaanisha wajomba zako kutoka kwangu mim dada yako ndo.vitakua vyeusi tii🤣😂😂😂😂 wajomba zangu ni weupe uzuri mmoja kwetu rangi nyeupe ni asili kutoka upande wa mama...🤣🤣🤣
Ooh! 😂😂😂 so unasema wewe blackbeauty hiyo safi once nilipenda sana wadada weusi 😂😂😂 wanavutia sana kama alivyo lupita Kenyan ladyNamaanisha wajomba zako kutoka kwangu mim dada yako ndo.vitakua vyeusi tii🤣
Mimi sio mweusi bestie🤣.Ooh! 😂😂😂 so unasema wewe blackbeauty hiyo safi once nilipenda sana wadada weusi 😂😂😂 wanavutia sana kama alivyo lupita Kenyan lady
Pia itakuwa njia nzur ya kupunguza maambukiz ya U.T.I na HVISerekali ione namna ya kuyasambaza hayo maroboti kwa raia wake, hii ni huduma muhimu na ya dharura kuondoa invoices and mizinga ya kudumu
Likipata virus utachezea vichwa utajutaNina mpango wa kukununua moja nimpeleke kwangu aise yanavutia madude unaambiwa yanatoa huduma zote tofauti kuzaa tu View attachment 2639222
Hahahaa! Inamaana jamaa ni mweusi 😂😂😂Mimi sio mweusi bestie🤣.
Ila vitoto vyangu najua vitakua vyeusi🤣
tiiii🤣🤣Hahahaa! Inamaana jamaa ni mweusi 😂😂😂
😂😂😂😂 umeme ukikata humuoni hadi acheke ndio uone meno😂😂😂tiiii🤣🤣
Yaani,🤣.😂😂😂😂 umeme ukikata humuoni hadi acheke ndio uone meno😂😂😂
Hongera zako na baba mandigo wako😂😂😂Yaani,🤣.
Ila ninavyompenda sasa mandingo wangu🤣
Utakufa kizazi chako cha billion moja kitakuja kusema kama wewe nacho kitapita .Ule mwisho wa Ulimwengu umekaribia!