Mademu bandia wa ELON MUSK marobot wawa gumzo Duniani

Mademu bandia wa ELON MUSK marobot wawa gumzo Duniani

Angalia faida ya kudumu. Halina HIV, halina Kisonono, Halipigi mizinga ya ajabu, unakula anytime bila complications.
ni kweli.tatizo hana ushirikiano kwenye tendo.hawezh kuwa na utamu kama wa mwanake asilia.pia nahitaji watoto.
 
Si unaona sasa mambo yenyewe kama haya ya kuringiana na kuringishianašŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Sijakuringishia bestie🤣
Mi nikipenda ndo nilivyo.
Nataka kila mtu ajue.
Naweza hata kumsimamisha mtu nisiemjua barabarani nikamsalimia then nikamwambia Sorry nilitaka tu kukwambia kuwa kuna mwanaume nampenda kishenzi🤣
 
Peleka moto kwa uto tumidoli yaani kila week nanunua kengine yaan unapiga mpaka ajute kuwa mdoli......asiwe tu na waya za umeme umo ndani yake
 
Sijakuringishia bestie🤣
Mi nikipenda ndo nilivyo.
Nataka kila mtu ajue.
Naweza hata kumsimamisha mtu nisiemjua barabarani nikamsalimia then nikamwambia Sorry nilitaka tu kukwambia kuwa kuna mwanaume nampenda kishenzi🤣
Hahahaa kweli wewe!
Umetisha sana šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Back
Top Bottom