Mademu wa DSM punguzeni njaa

Udart

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
398
Reaction score
586
Salute. Kiukweli tangu nimeingia hapa takribani miaka 6 nimegundua ni moja ya jiji la starehe kuliko yote hapa nchini kinachonipa shida moja wanawake wa huku ni vicheche sana si wote lkn ukijabu kumuomba no ya simu labda uko barabarani au hata kwenye basi kitu cha kwanza mna mkadiria wearing style mbaka viatu kama simu ni ya itel ya button huenda hata no asikupe sasa wakitoa no unaweza sema huyu mtt nimepata zali mkibadilishana no tu huchukui meter 100 ghafla anakuwa yatima matatizo hayaishi mbaka inakuwa kero mi Nawashauri ukitaka kudumu na mchepuko wako usitangaze njaa mapema vinginevyo mtu akupakia vumbi la kongo anakutumia siku moja anakutupia mbali.
 
Bila Shaka wamekusikia mkuu,wataongeza mita 200
Si itakuwa vizuri kiasi?
 
Miaka sita sitayari umekuwa wa dar wewe
 
Kuna mmoja tulibadilishana no jion akanibeep, nilipompigia akaniambia hana hela ya kula, anadaiwa kodi ya chumba, simu yake ina matatizo na mambo mengine mengi
hahahaha
 
Mwanaume wa mkoani kutwa kuwasema wanaume wa dar sasa mpaka Leo bado mademu wa dar wanakutoa jasho ... Rudi tu bush ukakimbizane na ngedere
 
sawa mkuu na nyie wanaume wa dar kutwa kupaka vumbi na kunywa supu ya pweza ndio maana magay hawapungui hawapungui....
Mwanaume wa mkoani kutwa kuwasema wanaume wa dar sasa mpaka Leo bado mademu wa dar wanakutoa jasho ... Rudi tu bush ukakimbizane na ngedere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…