Udart
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 398
- 586
Salute. Kiukweli tangu nimeingia hapa takribani miaka 6 nimegundua ni moja ya jiji la starehe kuliko yote hapa nchini kinachonipa shida moja wanawake wa huku ni vicheche sana si wote lkn ukijabu kumuomba no ya simu labda uko barabarani au hata kwenye basi kitu cha kwanza mna mkadiria wearing style mbaka viatu kama simu ni ya itel ya button huenda hata no asikupe sasa wakitoa no unaweza sema huyu mtt nimepata zali mkibadilishana no tu huchukui meter 100 ghafla anakuwa yatima matatizo hayaishi mbaka inakuwa kero mi Nawashauri ukitaka kudumu na mchepuko wako usitangaze njaa mapema vinginevyo mtu akupakia vumbi la kongo anakutumia siku moja anakutupia mbali.