Yes,hamna wakati unatakiwa kuomba mdogo wangu kama huu ,sisi familia yako Lamomy Tayana-wog tutaingia kwenye vita kuu si ya damu na nyama bali katika falme za Giza tukisaidiwa na nabii wa familia Tlaatlaah kuhakikisha shemeji Analyse hakimbii mpaka aoeNgoja nianze novena acha Nintendo jeshi la wokovu tuingie vitani Lamomy Tayana-wog
Tuma fungu la kumi nikusaidie kukuelewesha zaidi 😂😂😂nimeuliza ili nipate kujua na kuongeza uelewa na ufahamu wangu juu ya jambo hilo
Jtatu tuanze tufosi mambo 🤣🤣Ngoja nianze novena acha Nintendo jeshi la wokovu tuingie vitani Lamomy Tayana-wog
Hapo kwa nabii wa familia sasa 🤣🤣🤣Yes,hamna wakati unatakiwa kuomba mdogo wangu kama huu ,sisi familia yako Lamomy Tayana-wog tutaingia kwenye vita kuu si ya damu na nyama bali katika falme za Giza tukisaidiwa na nabii wa familia Tlaatlaah kuhakikisha shemeji Analyse hakimbii mpaka aoe
Ameeeeeen sasa Analyse ajichanganye aoneYes,hamna wakati unatakiwa kuomba mdogo wangu kama huu ,sisi familia yako Lamomy Tayana-wog tutaingia kwenye vita kuu si ya damu na nyama bali katika falme za Giza tukisaidiwa na nabii wa familia Tlaatlaah kuhakikisha shemeji Analyse hakimbii mpaka aoe
Na tufosi kwa nguvuJtatu tuanze tufosi mambo 🤣🤣
Bado hatujaenda pemba kuvunja nazi, ni mwendo wa mchanganyo mpk uoleweNa tufosi kwa nguvu
Me nilianza tangu tar 1 hadi 14 yaani ni vita mura haina kuremba
Kuolewa ni subtopic bff Kuna project imenifanya nifunge 14Bado hatujaenda pemba kuvunja nazi, ni mwendo wa mchanganyo mpk uolewe
kweni hujui slay queens ni chombo cha starehe??Demu kupika anasema anachoka, yani kuna muda anapika chakula cha usiku mchana ili usiku asipike tena.
Kufanya usafi ndani ni shida eti anasema mgongo unamuuma akiinama sana.
Vyombo akishakula usiku ni kazi kuvitoa, yani anaweza kuviacha kwenye meza mpka kesho yake.
Kiporo hawezi kula, na anasema tumbo linamuuma akila viporo.
Nafikiria endapo nikimuweka ndani si ndio atakuwa TipwaTipwa huyu, yani Kazi zote si atakuwa anamuchia Dada wa kazi.
JAMANI WATOTO WA KISHUA NI TABU KUISHI NAO.
Hata niko serious bas, nani afunge kwaajiri ya ndoa na vijukuu vya Farao.?? Tufunge kwa issue muhimu km hizo za project za kutuletea michongo ya pesa.Kuolewa ni subtopic bff Kuna project imenifanya nifunge 14
Naamini majibu yake yanakuja soon
Likijibiwa na Hilo fresh tu ila kikubwa ni hiyo project
sasa na wew mtumishi saa zingine bana aah🤣Tuma fungu la kumi nikusaidie kukuelewesha zaidi 😂😂😂
🤣🤣na hii kazi ya maombi na maombezi ya kufungua na kufunguliwa nitaifanya kwa bidii sana...Yes,hamna wakati unatakiwa kuomba mdogo wangu kama huu ,sisi familia yako Lamomy Tayana-wog tutaingia kwenye vita kuu si ya damu na nyama bali katika falme za Giza tukisaidiwa na nabii wa familia Tlaatlaah kuhakikisha shemeji Analyse hakimbii mpaka aoe
Na mi mama mtumishi, fungu la kumi kwaajiri ya vocha ili kuwaombea wapendwa kupitia simu 😂😂😂sasa na wew mtumishi saa zingine bana aah🤣
fungu la10 si kwajili ya madhabahu jamani ili injili isonge mbele na ni sisi wapakwa mafuta ndio tunaitumiaga,
sasa wew utaitumia wap kwa mfano 🤣
🤣🤣hiyo sasa hiyo haiitwi fungu la10 ni tegemeza mama mchungaji hiyo ni sadaka ya kawaida,Na mi mama mtumishi, fungu la kumi kwaajiri ya vocha ili kuwaombea wapendwa kupitia simu 😂😂😂
Ameeen bff huu mwaka si mchezoHata niko serious bas, nani afunge kwaajiri ya ndoa na vijukuu vya Farao.?? Tufunge kwa issue muhimu km hizo za project za kutuletea michongo ya pesa.
Ndoa muda wowote tukiitaka tunaipata
vijikuu vya farao?Hata niko serious bas, nani afunge kwaajiri ya ndoa na vijukuu vya Farao.?? Tufunge kwa issue muhimu km hizo za project za kutuletea michongo ya pesa.
Ndoa muda wowote tukiitaka tunaipata
Mmmhhh mmmh mmmh 🤔🤔🤔🤔kondoo wakae Kwa kutulia I smell fishy🤣🤣na hii kazi ya maombi na maombezi ya kufungua na kufunguliwa nitaifanya kwa bidii sana...
na hakuna mtu atachomoka....
Ooh hallelujah....
🤣🤣 Nabii wa mchongoHapo kwa nabii wa familia sasa 🤣🤣🤣