Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Yes,hamna wakati unatakiwa kuomba mdogo wangu kama huu ,sisi familia yako Lamomy Tayana-wog tutaingia kwenye vita kuu si ya damu na nyama bali katika falme za Giza tukisaidiwa na nabii wa familia Tlaatlaah kuhakikisha shemeji Analyse hakimbii mpaka aoeNgoja nianze novena acha Nintendo jeshi la wokovu tuingie vitani Lamomy Tayana-wog