Mademu wa kishua ni mzigo

Mademu wa kishua ni mzigo

Demu kupika anasema anachoka, yani kuna muda anapika chakula cha usiku mchana ili usiku asipike tena.

Kufanya usafi ndani ni shida eti anasema mgongo unamuuma akiinama sana.

Vyombo akishakula usiku ni kazi kuvitoa, yani anaweza kuviacha kwenye meza mpka kesho yake.

Kiporo hawezi kula, na anasema tumbo linamuuma akila viporo.

Nafikiria endapo nikimuweka ndani si ndio atakuwa TipwaTipwa huyu, yani Kazi zote si atakuwa anamuchia Dada wa kazi.

JAMANI WATOTO WA KISHUA NI TABU KUISHI NAO.
kweni hujui slay queens ni chombo cha starehe??
 
Kuolewa ni subtopic bff Kuna project imenifanya nifunge 14
Naamini majibu yake yanakuja soon
Likijibiwa na Hilo fresh tu ila kikubwa ni hiyo project
Hata niko serious bas, nani afunge kwaajiri ya ndoa na vijukuu vya Farao.?? Tufunge kwa issue muhimu km hizo za project za kutuletea michongo ya pesa.
Ndoa muda wowote tukiitaka tunaipata
 
Tuma fungu la kumi nikusaidie kukuelewesha zaidi 😂😂😂
sasa na wew mtumishi saa zingine bana aah🤣

fungu la10 si kwajili ya madhabahu jamani ili injili isonge mbele na ni sisi wapakwa mafuta ndio tunaitumiaga,
sasa wew utaitumia wap kwa mfano 🤣
 
Yes,hamna wakati unatakiwa kuomba mdogo wangu kama huu ,sisi familia yako Lamomy Tayana-wog tutaingia kwenye vita kuu si ya damu na nyama bali katika falme za Giza tukisaidiwa na nabii wa familia Tlaatlaah kuhakikisha shemeji Analyse hakimbii mpaka aoe
🤣🤣na hii kazi ya maombi na maombezi ya kufungua na kufunguliwa nitaifanya kwa bidii sana...

na hakuna mtu atachomoka....
Ooh hallelujah....
 
sasa na wew mtumishi saa zingine bana aah🤣

fungu la10 si kwajili ya madhabahu jamani ili injili isonge mbele na ni sisi wapakwa mafuta ndio tunaitumiaga,
sasa wew utaitumia wap kwa mfano 🤣
Na mi mama mtumishi, fungu la kumi kwaajiri ya vocha ili kuwaombea wapendwa kupitia simu 😂😂😂
 
Na mi mama mtumishi, fungu la kumi kwaajiri ya vocha ili kuwaombea wapendwa kupitia simu 😂😂😂
🤣🤣hiyo sasa hiyo haiitwi fungu la10 ni tegemeza mama mchungaji hiyo ni sadaka ya kawaida,

Hata na hivo kazi ya kwanza muhimu sana ya mama mchungaji ukiachilia zile zingine za ndani,

ni kuhakikisha Apostle ana vaa vizur, anakula ipasavyo na wakati wote anapohitaji huduma ya mama mchungaji bas isichelewe...
Na Mungu akubariki sana
 
Hata niko serious bas, nani afunge kwaajiri ya ndoa na vijukuu vya Farao.?? Tufunge kwa issue muhimu km hizo za project za kutuletea michongo ya pesa.
Ndoa muda wowote tukiitaka tunaipata
vijikuu vya farao?
ndio akina nan hao alaaaaa

kufunga kwajili ya Neema na Baraka za Mungu ni muhimu sana,
Fedha na mali na vyote viijazavyo nchi ni mali ya bwana
 
Back
Top Bottom