Mademu wa kishua ni mzigo

Mademu wa kishua ni mzigo

Demu kupika anasema anachoka, yani kuna muda anapika chakula cha usiku mchana ili usiku asipike tena.

Kufanya usafi ndani ni shida eti anasema mgongo unamuuma akiinama sana.

Vyombo akishakula usiku ni kazi kuvitoa, yani anaweza kuviacha kwenye meza mpka kesho yake.

Kiporo hawezi kula, na anasema tumbo linamuuma akila viporo.

Nafikiria endapo nikimuweka ndani si ndio atakuwa TipwaTipwa huyu, yani Kazi zote si atakuwa anamuchia Dada wa kazi.

JAMANI WATOTO WA KISHUA NI TABU KUISHI NAO.
Siku ya kusukuma mtoto labor atapanua na kusukuma au atabana kwa madeko akihofia mlango kupanuka.
 
Demu kupika anasema anachoka, yani kuna muda anapika chakula cha usiku mchana ili usiku asipike tena.

Kufanya usafi ndani ni shida eti anasema mgongo unamuuma akiinama sana.

Vyombo akishakula usiku ni kazi kuvitoa, yani anaweza kuviacha kwenye meza mpka kesho yake.

Kiporo hawezi kula, na anasema tumbo linamuuma akila viporo.

Nafikiria endapo nikimuweka ndani si ndio atakuwa TipwaTipwa huyu, yani Kazi zote si atakuwa anamuchia Dada wa kazi.

JAMANI WATOTO WA KISHUA NI TABU KUISHI NAO.
Chukua level zako Mkuu
 
Acha kuchanganya mtoto WA kishua na mwanamke mvuvi mchafu
 
Back
Top Bottom