Yuko kituo gani cha Polisi? Kwanini magari matatu na silaha za kivita vitumike kumkamata mtu anayedaiwa rent?View attachment 3698998
NAIROBI, KENYA β Madai kuhusu madeni ya muda mrefu yameibuka kufuatia taarifa za kukamatwa kwa Twaha Mwaipaya, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka Tanzania, nchini Kenya.
Kwa mujibu wa madai yaliyotolewa, Mwaipaya alikamatwa na mwenye nyumba aliyokuwa akiishi kwa kificho nchini Kenya, kufuatia kile kinachodaiwa kuwa ni kushindwa kutekeleza wajibu wa malipo ya kodi ya nyumba kwa muda mrefu.
Aidha, John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, anatajwa katika madai kuhusu jitihada za kutafuta suluhu ya deni linalodaiwa kufikia dola za Marekani 16,000.Lakini John Heche Γ lishindwa kufikia Muaafaka na Mwenye Nyumba
Kwa mujibu wa madai hayo, juhudi za kupata malipo kutoka Tanzania hazijazaa matunda yaliyotarajiwa, hali inayodaiwa kuchangia kuibuka kwa mzozo kati ya mpangaji na mwenye nyumba.
Hata hivyo, haijabainika kwa uthibitisho kiasi halisi cha deni hilo, mazingira kamili ya kukamatwa kwa Mwaipaya, wala iwapo John Heche alikubali kuwajibika kwa malipo hayo na akashindwa kufanya hivyo.
Hadi taarifa hizi zitakapothibitishwa na wahusika au mamlaka husika nchini Kenya, madai hayo yanapaswa kuchukuliwa kwa tahadhari.
Hivi mmeshindwa kabisa kutafuta KAZI HALALI??View attachment 3698998

maskini dah?View attachment 3698998

maskini twaha,Hivi mmeshindwa kabisa kutafuta KAZI HALALI??
Hizi damu za watu mnazomwaga kila siku, mnadhani mtaishi milele??
Kwani alikuwa anahama nyumba kwa siri? Mdeni hakamatwi vile!maskini dah?
athari na madhara ya kuharibu nyumbani, hua ni ya fedheaha sana ugenini.
Na mwisho wa ubaya ni aibu na fedheha kama hizo
Maccm na uongo ni π€Madeni ya muda mrefu yadaiwa kuhusishwa na kutekwa kwa Twaha Mwaipaya Kenya
In fact,Kwani alikuwa anahama nyumba kwa siri? Mdeni hakamatwi vile!
Maria Mjanja kwa sababu pesa zinapitia kwake same scenario John Pambalu alimlalamikia Lema kuwa ana Njaa kali sana Nirobi hivyo anataka kurudi bongo yule Sativa anaishi kwa Kamali siku akiliwa vibaya naye atarudi Bongo CHADEMA wana roho mbaya sanaa.In fact,
hata hotelini walikokua wakihifadhiwa kwa gharama za Maria, malipo ilikua tia maji tia maji, hatimae wakaamua kupangisha mtaani na huko nako hali ya malipo ya mjengo kwa mwenye nyumba ikawa ni maneno matupu na kukawa na dalili za kudhulumiwa kwa kupotea kwa hao wapangaji akina pambalu, twaha na wengine
Utakufamaskini twaha,
chadema wamemtumia kama toilet papers tu dah
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa is real aise