Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Picha ya AI na Bado watu wanakusikiliza. Ndio maana bongo manabii wa uongo hawaishi.View attachment 3698998
NAIROBI, KENYA — Madai kuhusu madeni ya muda mrefu yameibuka kufuatia taarifa za kukamatwa kwa Twaha Mwaipaya, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka Tanzania, nchini Kenya.
Kwa mujibu wa madai yaliyotolewa, Mwaipaya alikamatwa na mwenye nyumba aliyokuwa akiishi kwa kificho nchini Kenya, kufuatia kile kinachodaiwa kuwa ni kushindwa kutekeleza wajibu wa malipo ya kodi ya nyumba kwa muda mrefu.
Aidha, John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, anatajwa katika madai kuhusu jitihada za kutafuta suluhu ya deni linalodaiwa kufikia dola za Marekani 16,000.Lakini John Heche àlishindwa kufikia Muaafaka na Mwenye Nyumba
Kwa mujibu wa madai hayo, juhudi za kupata malipo kutoka Tanzania hazijazaa matunda yaliyotarajiwa, hali inayodaiwa kuchangia kuibuka kwa mzozo kati ya mpangaji na mwenye nyumba.
Hata hivyo, haijabainika kwa uthibitisho kiasi halisi cha deni hilo, mazingira kamili ya kukamatwa kwa Mwaipaya, wala iwapo John Heche alikubali kuwajibika kwa malipo hayo na akashindwa kufanya hivyo.
Hadi taarifa hizi zitakapothibitishwa na wahusika au mamlaka husika nchini Kenya, madai hayo yanapaswa kuchukuliwa kwa tahadhari.
Auaye kwa upanga. Atakufa kwa upangaGentleman,
Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA.
Zaburi 118:17
![]()
Recho Dangwa yuko kwenye mikono salama .Maria Mjanja kwa sababu pesa zinapitia kwake same scenario John Pambalu alimlalamikia Lema kuwa ana Njaa kali sana Nirobi hivyo anataka kurudi bongo yule Sativa anaishi kwa Kamali siku akiliwa vibaya naye atarudi Bongo CHADEMA wana roho mbaya sanaa.
Acha uongo, alikuwa ni mgonjwa. Mbona Katoa video wiki iliyopita Tena alikuwa live.Recho Dangwa yuko kwenye mikono salama .
Propaganda za mfumo wa chama dola kongwe kujaribu kuchafu taswira ya viongozi wa chama pekee cha kweli cha siasa nchini Tanzania cha CHADEMA
TOKA MAKTABA :
MWAKA 2023
CHAWA WA CCM SHEIKH SAIDI MWAIPOPO ALIVYOKAMATWA KENYA
View: https://m.youtube.com/watch?v=Cz0UEGciedc
Sheikh Majini asimulia mkasa wa Sheikh Mwaipopo kutupwa korokoroni kwa utapeli
Sheikh Said Mwaipopo alikamatwa nchini Kenya mwaka 2022 mjini Nairobi, akikabiliwa na tuhuma zilizohusishwa na utapeli na kujifanya mtaalamu wa kusomea watu visomo na tiba.
Tukio hilo lilizua mjadala mkubwa na kufuatiwa na mambo yafuatayo:
Kufungwa Gerezani: Baada ya kukamatwa kwake Nairobi, Sheikh Mwaipopo alishikiliwa na kufungwa gerezani nchini Kenya kwa kipindi fulani.
Michango ya Kumtoa: Wakati akiwa kizuizini, baadhi ya wahadhiri wenzake na waumini walihamasishana na kuchangisha fedha (takriban shilingi milioni 5) ili kusaidia gharama za kisheria na kufanikisha kutoka kwake jela.
Msaada kutoka kwa Sheikh Sharifu Majini: Katika maelezo yake ya baadaye, Sheikh Mwaipopo alikiri kuwa marehemu Sheikh Hussein Msopa (maarufu kama Sheikh Sharifu Majini) alikuwa miongoni mwa watu wa karibu waliomsaidia sana kwa hali na mali kufanikisha kuachiwa kwake wakati wa sakata hilo la Kenya.
Ufafanuzi Baada ya Kuachiwa: Mnamo Machi 2023, baada ya kurejea uraiani, alifanya mikutano na waandishi wa habari pamoja na kutoa taarifa kupitia mitandao akieleza kwa upana mkasa huo, huku akiomba radhi kwa wale aliowakosea na kuwasamehe waliomfanyia ubaya
View: https://m.youtube.com/watch?v=MJFglGupQys
hiyo ni porojo gentlemanAuaye kwa upanga. Atakufa kwa upanga

Yawezekana mtu huko ameshauwawa,Halafu kenge nyingine inakaa inatunga habari!Ni hatari, madhara ya utekaji ni makubwa hata kwako na kizazi chako mbwa wewe.
Aliyetagiwa anajua maana ykAcha uongo, alikuwa ni mgonjwa. Mbona Katoa video wiki iliyopita Tena alikuwa live.
View attachment 3698998
NAIROBI, KENYA — Madai kuhusu madeni ya muda mrefu yameibuka kufuatia taarifa za kukamatwa kwa Twaha Mwaipaya, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka Tanzania, nchini Kenya.
Kwa mujibu wa madai yaliyotolewa, Mwaipaya alikamatwa na mwenye nyumba aliyokuwa akiishi kwa kificho nchini Kenya, kufuatia kile kinachodaiwa kuwa ni kushindwa kutekeleza wajibu wa malipo ya kodi ya nyumba kwa muda mrefu.
Aidha, John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, anatajwa katika madai kuhusu jitihada za kutafuta suluhu ya deni linalodaiwa kufikia dola za Marekani 16,000.Lakini John Heche àlishindwa kufikia Muaafaka na Mwenye Nyumba
Kwa mujibu wa madai hayo, juhudi za kupata malipo kutoka Tanzania hazijazaa matunda yaliyotarajiwa, hali inayodaiwa kuchangia kuibuka kwa mzozo kati ya mpangaji na mwenye nyumba.
Hata hivyo, haijabainika kwa uthibitisho kiasi halisi cha deni hilo, mazingira kamili ya kukamatwa kwa Mwaipaya, wala iwapo John Heche alikubali kuwajibika kwa malipo hayo na akashindwa kufanya hivyo.
Hadi taarifa hizi zitakapothibitishwa na wahusika au mamlaka husika nchini Kenya, madai hayo yanapaswa kuchukuliwa kwa tahadhari.
Mpumbavu na mada yako ya kipumbavuView attachment 3698998