Madeni ya muda mrefu yadaiwa kuhusishwa na kutekwa kwa Twaha Mwaipaya Kenya

Mnahangaika,Jana amejiteka,Leo mnasema kakamatwa na baba mwenye nyumba!
Hivi Huwa mnapewa miongozo ya script zenu mnazoleta hapa au Kila mtu akiamka litakalomuijia kichwani ndio Hilo Hilo!
 
Picha ya AI na Bado watu wanakusikiliza. Ndio maana bongo manabii wa uongo hawaishi.
 
Propaganda za mfumo wa chama dola kongwe kujaribu kuchafu taswira ya viongozi wa chama pekee cha kweli cha siasa nchini Tanzania cha CHADEMA

TOKA MAKTABA :

MWAKA 2023
CHAWA WA CCM SHEIKH SAIDI MWAIPOPO ALIVYOKAMATWA KENYA


View: https://m.youtube.com/watch?v=Cz0UEGciedc
Sheikh Majini asimulia mkasa wa Sheikh Mwaipopo kutupwa korokoroni kwa utapeli
Sheikh Said Mwaipopo alikamatwa nchini Kenya mwaka 2022 mjini Nairobi, akikabiliwa na tuhuma zilizohusishwa na utapeli na kujifanya mtaalamu wa kusomea watu visomo na tiba.


Tukio hilo lilizua mjadala mkubwa na kufuatiwa na mambo yafuatayo:

Kufungwa Gerezani: Baada ya kukamatwa kwake Nairobi, Sheikh Mwaipopo alishikiliwa na kufungwa gerezani nchini Kenya kwa kipindi fulani.

Michango ya Kumtoa: Wakati akiwa kizuizini, baadhi ya wahadhiri wenzake na waumini walihamasishana na kuchangisha fedha (takriban shilingi milioni 5) ili kusaidia gharama za kisheria na kufanikisha kutoka kwake jela.

Msaada kutoka kwa Sheikh Sharifu Majini: Katika maelezo yake ya baadaye, Sheikh Mwaipopo alikiri kuwa marehemu Sheikh Hussein Msopa (maarufu kama Sheikh Sharifu Majini) alikuwa miongoni mwa watu wa karibu waliomsaidia sana kwa hali na mali kufanikisha kuachiwa kwake wakati wa sakata hilo la Kenya.

Ufafanuzi Baada ya Kuachiwa: Mnamo Machi 2023, baada ya kurejea uraiani, alifanya mikutano na waandishi wa habari pamoja na kutoa taarifa kupitia mitandao akieleza kwa upana mkasa huo, huku akiomba radhi kwa wale aliowakosea na kuwasamehe waliomfanyia ubaya


View: https://m.youtube.com/watch?v=MJFglGupQys
 
Ila JF siku hizi inaboa sana. Mtu anaamka na picha ya AI na stori za uongo na Bado Uzi unaendelea
 
Maria Mjanja kwa sababu pesa zinapitia kwake same scenario John Pambalu alimlalamikia Lema kuwa ana Njaa kali sana Nirobi hivyo anataka kurudi bongo yule Sativa anaishi kwa Kamali siku akiliwa vibaya naye atarudi Bongo CHADEMA wana roho mbaya sanaa.
Recho Dangwa yuko kwenye mikono salama .
 
Hivi, hizi akili lojolojo sijui huwa watu wanazitoa wapi? taabu tupu.. utaratibu wa kulipa madeni unafahamika duniani kote hata huko Kenya.. kuvamiwa na gari na kuchukuliwa haimo kwenye utaratibu huo...ya nini kuleta mzaha ktk jambo serious kama hili? au ndio njia ya kutokea?
 
Halafu Leo ndio semaji Kuu la CCM
 
hivi kwanini tusiwachangie wanaharakati wetu hela za kuwa wanajikimu? ungeundwa utaratibu kwa watanzania tukawa tunawachangia. wawe wanaweka namna tunazoweza kuwachangia na ambazo ni salama kama adress za exchange mbalimbali kama binance. natamani hili wazo lingefanyiwa kazi.
 
Ni hatari, madhara ya utekaji ni makubwa hata kwako na kizazi chako mbwa wewe.
 

Kwahiyo wengine wote waliotekwa au kupotea wana madeni sugu? Tuache utoto. kama hujui kitu bora ukae kimya. Maana wanachofikiria watu ni tofauti na unachosema.....

Ni ngumu sana kubadili upepo sasa hivi...shoka liko shinani. Shura ya maimau inasoma Fatwa yake
 
Mpumbavu na mada yako ya kipumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…