nyakandula
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 1,250
- 1,727
- Thread starter
-
- #61
Tala na branch wote hawapo tz ila unatumia app zao zipo play storeNahitaji kujua zaidi kuhusu TALA, wako wapi? Naomba nifahamu jinsi ya kuwafuatilia, je wana ofisi au ni katika mitandao? masharti ya kukopa ni yapi? asanteni
Duh wananiripoti kwa identity ipi?je nikibadil identity huko wanakoniripot watanijuaje kam mdaiwa sugu? Siijui hio alama nifahamishe mkuuHiii mikopo yao inakatiwa bima kabisa ukishindwa kulipa wanaliowa na bima. Ila mawakala wanao wakikuotea ndo hivyo tena. Ila wana kuripoti kwenye taa sisi zote zinazo husiana na mambo ya fedha, kwamba wewe ni mdaiwa sugu kwahiyo huta weza kukopa popote tena.
LIPA MADENI NDUGU HUO SIYO UJANJA.UNAJUA MAANA YA ALAMA HII!?[emoji117] [emoji614]
Sent using Jamii Forums mobile app
Riba yao asilimia ngap?Kwa kuanza unaletewa option nadhani 3 kati ya elfu 5,10 au 20 uchague na hizo unalipa kwa wiki ila kwa laki 3 ukikopa unarudisha laki 3 na nusu so kila.mwez unalipa laki na kumi na hv
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahha duh hawa wanalizwa sana kwa styl hiiWasikutishe hawa jamaa mi natumiwa hizi kila siku,juzi nikapigiwa na mdada wa branch anapanic nikamwambia Dada usinitishe na hako kahela kenu mkashtaki basi, kama sijapata hela ya kuwalipa mnataka nikaibe!? Tulibishana sana mwisho kakata simu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah maza konfesa naomba nikopeshe lak8.5Pengine hutofanywa chochote,.lakini dawa ya deni ni kulipa...tuwafanyie tuu hao kina TALA na branch lakini sisi kwa sisi tukikopana tuwe tunarudishiana kudumisha uaminifu na upendo zaidi[emoji4]
Weka namba nikutumie na ya kutolea kabisaa😎
Kwa hiyo mlienda kukopa au kufanya wizi wa kuaminiwa?Unajua had kunikamata watakua washapoteza resources nying zaid ya hio wananidai
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila si ingekuwa poah uwalipe ili next time ukishidika ukope? Kwanini unawakomesha? Vipi ungekuwa wewe ndo unadai? Anyway jamaa wanatusaidia sana wenye shida zetu za dharula, hatuwasumbui tena ndg na jamaa zetu eti nikope 20,000 [emoji23][emoji23]tala walikua wananipiia simu kila mara kwa namba ya kenya nikawa sipokei badae wakabadili namba ya kibongo nikastuka, sababu line niliyokopea ni mpya nikaapa sipokei simu kutoka kwenye hiyo namba. Sasa ni mwendo wa sms za mikwara,,, jamaa wana mikwara haijawahi tokea aisee ila nawakomesha sababu mwanzo nilikopa wakati wa kurudisha nikazidisha elf 5 makusudi wakaniambia next mkopo wataijazia ila hawakufanya hivyo so kama walivyoniibia nao wapambane na hali yao.
HAKUNA KUKAMATANA WALA NINI WATU WAMEJIANDIKISHIA TANDAHIMBA WANAKOPEA DAR
WANAKUPATIA WAPI WANGEKUA NA UWEZO WA KUKUKAMATA WASINGEKUTISHA NA TEXTS ZAO
Umeona wapi sheria hiyo... Jaribu siku mkope au mdhulumu mtu akufungulie kesi ya madai uone, labda awe hana ufahamu.. Sijui nawewe utapenda kukaa ndani miezi 6 kisa 20,000!!! Yeye anaweza kusucrifice hiyo wewe uteseke tuAlafu watawezaje kuthibitisha kwamba wananidai 1.5T ilihali wananidai 20K?
Alafu kesi ya madai sio kesi ngumu maana mchakato wake una mambo mengi ambayo anayekudai anaweza kughaili.
Hivi unanidai 20K hukumu ikasema niende jela miezi sita na kisha nilipe pesa yako, je uko tayari kunihudumia chakula kwa miezi sita nikiwa jela ili nikitoka nikulipe 20K?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikopa branch 2016 nikalipa 2018 ila mikwala yao ni balaa
Barafu la moto
unakopaje nataka niwakope nitupe line
Mifumo ya pesa ndg hujaelewa.. Kopa ingia mitini ukidhani Namanyele na Nairobi ni mbali.. La unaishi nje ya dunia sayarihivi hawa hizi namba zao wanazotuma sms haiwezekani kuziblock tu wasitupate yani unikopeshe upo huko kenya afu uanze kunisumbua na vitisho mimi alaaaaaa
Ni kampuni moja hao tofauti majina tuukishakopa tala huwezi tena kukopa branch. huyo jamaa katumia mbinu gani
nina line kibao hazitumikiWengine humu sijui ni watoto... Ukope 10,000 halafu utupe line, kichwan zinafanya kazi kweli? JF inakosa watu makini kila kukicha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndo spirit nzuri ya mkopaji.. Malengo hayaishi siku moja... Pia mikopo easy ni michache sana...hata ndg tu mwambie akupe laki uone? Au nenda kwa wakopesha kwa riba uone shughuli yake, utahama makazi..Mimi branch huwa wananipush sana nkiwa na emegence za hapa na pale mpk nw ninauwezo wa kukopa hadi kilo 4,ofcoz huwa nawalipa kwa wakati maana sioni sababu ya kuwadhurumu kwa kutokuwalipa ilihali fedha zao huwa nikiomba tu dk haiishi mzgo unaingia so sionagi inshu ya kutowalipa na ukizingatia kwa mfano laki 3 ukikopa unawalipa kwa miez mitatu kdg kdg,kwa maisha yalivyo taiti kibongo bongo utamkopa nani hela yafasta fasta afu uje umlipe kdg kdgo???
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji kujua zaidi kuhusu TALA, wako wapi? Naomba nifahamu jinsi ya kuwafuatilia, je wana ofisi au ni katika mitandao? masharti ya kukopa ni yapi? asanteni