Umeongea vyema sanaKama hamtaki korona mnaingia kufata nini huku?
Huko kwenu si kuna lokidauni Sasa mbona raia zenu zinatapatapa huku?
Mi naona kuna namna mnaitumia kuipiga tz maana nikiangalia na mkulu wetu kukaidi hivyo vikao ni kama kuna kitu kinaendelea na inatafutwa namna ya kuichapa tz kiuchumi na kitalii si bure maana hizo takwimu zenu na huku mtaani ni vitu viwili tofauti kabisa!
Nahisi kuna kitu kinaendelea baina ya serikali yetu na ukanda tuliopo kuna kitu si cha kawaida.
Kuna kitu kidogo kinatuponza "ukaidi"Sasa kuna picha inataka kutengenezwa kuwa Corona sasa ni ugonjwa wa Tanzania, kwa alie nje ya Tanzania akisikia hivi anaweza dhani sasa taifa zima wamekufa. Karibuni mtaani.
Corona kila sehemu. Yani ukivuka boder ukavuta hewa ya TZ ukirudi kwenu tayari umeshaukwaa. Mamlaka za ndani ya nchi zichukue hatua mapema kabla hali haijazidi kuwa mbaya.Dah! Sasa mnafanya huku kwetu Tz ionekane Corona ni kama kahawa tu [emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
So nikusema Watanzania ambao wamejaa huku Kenya, walitoroka kwao juu ya njaaMlifuata nini TZ kama sio njaa inawakumba
Tatizo hii kitu inahitaji a coordinated regional effort yaani kwa mfano Uganda ametoa kafara uchumi na kupiga lockdown halafu huku Tanzania tunadunda na kupiga kazi mwisho wa siku tunategemeana lazima corona itatoka Tanzania kuelekea Uganda, kazi mnayo maana ni mkaidi na hamna mwenye uwezo wa kumbadili mawazo akishaamua hata wafe 50% ya population kazi zitapigwa na hiyo 50% iliyobaki.
Hao wanasongamana kwenye vilabau kama wapo basi akili zao hazihitaji tena kujadiliwa,bali watakua wanahitaji tiba mbadala.
Hata masokoni pia acheni msongamano,kwenye vyombo vya usafiri acheni msongamano.Na hata kwenye misikiti na makanisani acheni kusongamana, itasaidia maana nyuzi kama hizi zinatisha Mufti sheikh Abubakar Zuberi Augua Nduguze Wazuiwa Kumuona. - JamiiForums
Hii hali siyo kabisa, tahadhari binafsi muhimu zaidi, huu ndo wakati wa kuchanganya akili na kujiongeza.Na hata kwenye misikiti na makanisani acheni kusongamana, itasaidia maana nyuzi kama hizi zinatisha Mufti sheikh Abubakar Zuberi Augua Nduguze Wazuiwa Kumuona. - JamiiForums
Hivi tahadhari wanazochukua wenzetu na sisi tofauti ipo wapi au sisi tatizo kubwa ni kutangaza takwimu hili sawa kabisa halina ubishi.
You're smartKwa hiyo katika Corona kuna mkono wa Mungu?
Ishu kubwa ni kusema kwamba kuna kitu nyuma ya hili,hiko kitu pia tujiulize ni kitu gani,ni kitu mtu, ni kitu Mungu,ni kitu shetani, ni kitu silaha, ni kitu janga, ni kitu kutoka mbinguni, ni kitu kutoka maabara,ni kitu kutoka wapi, ni kitu kama adhabu, ni kitu kama gharika, ni kitu kama mkono wa shetani, kuna kitu nyuma ya hili gonjwa, nyuma hiyo ni ipi, ni siri, ni dhahiri, au nini? Ndio maana ya kujihoji kwanza kuna nini nyuma ya hili kuna kitu gani.
Kama ni ugonjwa umeanzia wapi, kwa wanyama au kwa binadamu, kama ni wanyama kwanini leo na siyo mwaka 1978, nyuma ya hii ni nini, kuna nini kilichofichwa, kimefichwa kwanini, na nani, lini ili iweje.
Tutafute pa kuanzia kwanza kabla ya kutafuta tuliopo.
Lengo lenu wakenya tunalijua mnadhani mkisema hivyo itaonyesha watz wote tuna corona ,sawa kama ni kweli mbona sasa ni miezi miwili inaenda kama waelfu tunaugua tunge jaa malaki hospitalini au sivyo basi huu ugonjwa unapenda damu zetu maana tunaishinao bila kuugua wa kufa kwa maelfu.Dah! Sasa mnafanya huku kwetu Tz ionekane Corona ni kama kahawa tu [emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ya Kenya inafanya chokochoko kama za idi amini.Kama hamtaki korona mnaingia kufata nini huku?
Huko kwenu si kuna lokidauni Sasa mbona raia zenu zinatapatapa huku?
Mi naona kuna namna mnaitumia kuipiga tz maana nikiangalia na mkulu wetu kukaidi hivyo vikao ni kama kuna kitu kinaendelea na inatafutwa namna ya kuichapa tz kiuchumi na kitalii si bure maana hizo takwimu zenu na huku mtaani ni vitu viwili tofauti kabisa!
Nahisi kuna kitu kinaendelea baina ya serikali yetu na ukanda tuliopo kuna kitu si cha kawaida.