Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Umeongea vyema sanaKama hamtaki korona mnaingia kufata nini huku?
Huko kwenu si kuna lokidauni Sasa mbona raia zenu zinatapatapa huku?
Mi naona kuna namna mnaitumia kuipiga tz maana nikiangalia na mkulu wetu kukaidi hivyo vikao ni kama kuna kitu kinaendelea na inatafutwa namna ya kuichapa tz kiuchumi na kitalii si bure maana hizo takwimu zenu na huku mtaani ni vitu viwili tofauti kabisa!
Nahisi kuna kitu kinaendelea baina ya serikali yetu na ukanda tuliopo kuna kitu si cha kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app